Yatakwisha Lini

Maisha yananyonda
Kila ninapogusa pagumu
Japo yanasonga
Ila kiugumu ugumu

Mwili umekonda
Akili inanituma ninywe sumu
Moyo unagoma,eieh aah

Najitahidi kupambana
Niweze kupata kidogo
Naambulia kutukanwa pamoja na kung'ong'wa kisogo uwuh

Hata rafiki wanaonekana kushiriki vikazi vidogo
Najiuliza hivi ni laana maana imekua misukosuko

Haya yatakwisha lini
Haya yatakwisha lini
Najiuliza maswali
Haya yatakwisha lini
Haya yatakwisha lini
Maana kuna ofa zaidi

Wakati mwengine nakufuru mungu
Kwa nini nisingezaliwa
Kila ninapogusa pagumu
Watoto nyumbani hawajala

Nilishaenda kwa waganga
Niroge nipate mimande
Na kuwashirikisha wanga
Ili mrandi mi mradi maisha yanune

Najitahidi kupambana
Niweze kupata kidogo
Naambulia kutukanwa pamoja na kung'ong'wa kisogo uwuh

Hata rafiki wanaonekana kushiriki vikazi vidogo
Najiuliza hivi ni laana maana imekua misukosuko

Haya yatakwisha lini
Haya yatakwisha lini
Najiuliza maswali
Haya yatakwisha lini
Haya yatakwisha lini
Maana kuna ofa zaidi

Jordan music



Credits
Writer(s): Erick Gift
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link