Sweety

Moyo nilishakuwekaa
Sio siri nishaweka wazii
Nakupenda saana, nishikilie twende sotee

Moyo nilishakuwekaa
Sio siri nishaweka wazii
Nakupenda saana, nishikilie twende sotee

Na ukishindwa kutamka, nionyeshe tu kwa vitendo za kibubububu isharaa
Nitaridhikaa,

Na ukishindwa kutamka, nionyeshe
Kwa vitendo, za kibubububu isharaa
Nitaridhikaa,

We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
Wa moyoni

We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
Wa moyoni

Toka utotoni mistari sina vimba
Nilizaliwa mpeketoni na mapenzi ya kuchimba
Narap na uchizi mpaka leo ninaimba

Asije dangote na maneno ya kisimba
Love ni mapenzi yaloyojifikisha Penda
Sijarusha roho visirani ukaenda
Ni msanii chipukizi aki walai nakupenda

Bonge lako laru latokea pemba
Twende mjikenda na mnazi wa kilenda
Nikupe malinoi parachichi ya kutenda

Twende mjikenda na mnazi wa kilenda
Nikupe malinoi parachichi ya kutenda
Nasepa raruraru Kama kijana barubaru
Kabla kesi kwenye kesi wanajipa na vifaru

Nasepa raruraru Kama kijana barubaru
Kabla kesi kwenye kesi wanajipa na vifaru

We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
Wa moyoni

We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
Wa moyoni

Likiwekwa sokoni penzi lako, nitanunua
Ama kitandani usingizini, nikakuota
Likiwekwa sokoni penzi lako, nitanunua
Ama kitani usingizini, nikakuota (Yeeh)

Bonge la kilo infront of the page
Unanipa hadharani, you are of all the best
Mi na chakala boom tunafinish the case
Leta tam tam ongezea ni less
Leta tam tam ongezea ni less!

Wa moyoni,
We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
We ndio wangu sweety
Wa moyoni



Credits
Writer(s): Erick Gift
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link