Inauma

Kukosana na wewe, sikutarajia
Kuwa mbali na wewe, aki umeniacha pabaya
Kutengana na wewe, imenibadilisha sana
Nimetamani nilewe, aki nakunywa nasazamana

N'taambia nini watu, Regina?
Haya mapenzi yalinoga
Nakumbuka tulipeana majina
Leo "Baby," kesho "Tomato"
Mitandao ikaleta vitina
Ukawa huambiliki
Nami kichwa changu na kikavimba
Nikawasisemezeki

Inauma, inauma, lakini n'tazoea
Inauma, inauma, lakini n'tazoea
Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea
Hali ya binadamu duniani ni kuzoea, ndio nashindwa

Densi, oh, densi, densi tulikamata hadi usiku wa manane, ayy
Kesi, oh, kesi, kesi tukakubali tutapendana milele
Nyimbo, nyimbo, nyimbo tulizopenda zanikumbushanga wewe
Kamisi, oh, kamisi, kamisi na baika uliwacha nanusanga ndio nilale
Oh, yoyo

Tutaambia nini watu, Regina?
Haya mapenzi yalinoga
Nakumbuka tukila bata na beer
Party aftеr party
Shetani gani alituingilia?
Akatuweka asunder
Ilovito pahali imеnifikisha
I'll never love another

Na inauma, inauma, lakini n'tazoea
Inauma, inauma, lakini n'tazoea
Hali ya binadamu duniani ni kuzoea
Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea, ndio nashindwa

Inauma, inauma, lakini n'tazoea
Inauma, inauma, lakini n'tazoea
Hali ya binadamu duniani ni kuzoea
Hali ya mwanaume duniani ni kuzoea, ndio nashindwa



Credits
Writer(s): Bien-aime Baraza
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link