Unanimaliza (feat. Lody Music)

Kimambo,on the beat

Hili huba,limenisafirisha mazima
Kwenye dunia yangu mi na wewe
Tuwe wote mi na wewe

Halitofubaa,mbali si' tutafika lazima
Na kwenye moyo wangu upo wewe
Tuwe wote mi na wewe

Yaani kichwani nakuwaza wewe
Naona najiingiza mazima
Nini umenipa wewe?
Ona midadi inaniita

Nina imani nikiwa na wewe
Napona hata bila kupima
Nini umenipa wewe?
Ona midadi inaniita

Na nilivodidimia,unachuchumia
Penzi lako nipe we
Vile unang'ang'ania,mi napenda pia
Unafanya nilewe

Unanimaliza
Unanimaliza
Unanimaliza
Unanimaliza

Aahhh
Lody Music on this one

Ninapumilia mipira
Nitapokukosa nitashindwa hata kufikiri
Nakuwaza we,unaniwaza mi
Penzi linapata mavuno

Unavonipenda mpaka raha
Mi natoa posa siwezi kufanya siri
Nataka kuwa na we,unataka kuwa na mi
Wanga wanawashwa mikuno

Yaani mpaka raha

Napendwa-nalishwa-naogeshwa-navishwa nguo yaani mpaka nampenda
Na-ninavoaminishwa-kabisa-kwamba-chaguo lake kabisa kanipenda

Napendwa-nalishwa-naogeshwa-navishwa nguo yaani mpaka nampenda
Na-ninavoaminishwa-kabisa-kwamba-chaguo lake kabisa kanipenda

Unanimaliza
Unanimaliza
Unanimaliza
Unanimaliza



Credits
Writer(s): Writer Unknown, Faustina Mfinanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link