LALA TOTO

(Background)La la la la la la
Laala.lalalalalalalalaaalalalala
Haya mambo ya dunia huwezi yaelewa toto
Kuna wakati ni heri kubaki ndani ya ndoto
Iwapo sina muda wa kuwa nawewe nikufunze toto
Naomba ulimwengu usije ukakuvunja moyo ooohh
Msikize mama yako
Kaa rada ya mabeshte zako
Tegemea jasho lako
Ikibidi pigania haki zako
Na usipende vya bwerere
Usiamini kila kitu kwenye tele
Saa zingine ni ugali na terere
Ila kesho baraka zitakuja tele

Lala toto lala ulimwengu mbaya
Lala toto lala usione mabaya
Lala toto lala itakuwa sawa
Lala toto lala
Toto lala



Credits
Writer(s): Mordecai Mwini
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link