Kata Simu Tupo Site

Like a boss (like a boss)
Kata simu kata simu
Kata simu, mteja wa nambari
Sipataikani ka si ganji
First class ndunguz
Ukicheki status uta panic
Ma peng ting mali safi
Naskia fiti sijui ni nini

Kata simu kata simu
Kata simu waja kua the fim
Zebe ting wah sshh sshh
Kata simu no disturbance of the head
Utakula block ama nikuache red

Excuse me, sipendi kuitwa
Sazile sherehe imeshika
Kata simu unatuharibia time
Tunataka kulewa usituharibie psych

Alaa! Kata simu kata simu kata simu
Tupo site tupo site tupo site
Kata simu kata simu kata simu (kata simu)
Tupo site tuko site tupo site (tupo site)
Kata simu kata simu kata simu (kata simu)
Tupo site tupo site tupo site (tupo site)
Kata simu kata simu kata simu (kata simu)
Tupo site tupo site tupo site

Aah aah sipendi umbwakni
Sipendi mtu bloodfukni
Mbona unapenda kupigia mtu?
Sazile ako juu ya mtu
Alaa! Penye mi naishi ni mbali (mbali)

Ata huwezi nipata na binoculars (binoculars)
Mi nikama swali za polisi (polisi)
Huwezi nipata hata na formula
Kuna vitu siwezi fanya
Hata nikizifanya huwezi nipata
Kwa ma scandals huwezi ni hata
Lakini kwa Nairobi gossip huwezi nipata

Excuse me, sipendi kuitwa
Sazile sherehe imeshika
Kata simu unatuharibia time
Tunataka kulewa usituharibie psych

Alaa! Kata simu kata simu kata simu
Tupo site tupo site tupo site
Kata simu kata simu kata simu (kata simu)
Tupo site tuko site tupo site (tupo site)
Kata simu kata simu kata simu (kata simu)
Tupo site tupo site tupo site (tupo site)
Kata simu kata simu kata simu (kata simu)
Tupo site tupo site tupo site

Credits
Writer(s): Kennedy Otieno Omondi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link