Look For More
Napenda ukinishika
Kila time ukipenduka
Ungejua nabambika sana
Napenda ukinigusa
Na mikono ukipapasa
Makusudi tu napenda tu unavyofanya
Kwa mawazo nishafika
Kila mara nakuwazaa
Kwa kweli kwako nilishatia nanga
Hata nikikasirika
Kwako nitajilimaza
My love for you
Haijawai kuja isha
I don't wanna spend all my money
Kwa hizi keki za kinaamani
Moyoni bila wewe nitaumia
Hata pingamizi nyumbani
Natafta riziki my darling
Kumuomba jalali ni lazima
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for moore
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for mooore
Napenda kukutekenya kidogo
Ukicheza kwa maringo
Na kwanza legezanga umbo
Na kwanza unavyochezesha kauono
Unanichanganya ubongo
Moyoni mwangu wewe ndio wa mwisho
And I remember tukiwa wachanga
Nilikupenda ukanipendanga
And I swear we will be together
Untill forever
And I remember tukiwa wachanga
Nilikupenda ukanipendanga
And I swear we will be together
Untill forever
Nataka nikupeleke nyumbani
Ukawaone daddy na mammy
Baraka za wazazi ni lazima
Hata malimbano nyumbanii
Usije kufa moyo we niamini
Kugombana ni lazima
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for moore
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for mooore
Kwangu mapenzi ni balaa
Nitakupenda hata kama sina raha
Mapenzi yetu iende far
Wataona venye sisi tunang'aa
Na penzi limechacha
Watabaki wakipigwa na butwaa
Na kwako nimedata
Nitagaragara kama bata
Na kwako nimedata
Nitagaragara kama bata
My love for haitawai kuja isha
Nadeli deli na Imani
Moyo nimekuweka huko ndani
Kila kukicha na kila dakika
Hata tukikosa Amani
Usipende pende jirani
I'll never hurt you
I'll never loose you
I'll never hurt you
I'll never loose you
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for moore
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for mooore
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for moore
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for mooore
Kila time ukipenduka
Ungejua nabambika sana
Napenda ukinigusa
Na mikono ukipapasa
Makusudi tu napenda tu unavyofanya
Kwa mawazo nishafika
Kila mara nakuwazaa
Kwa kweli kwako nilishatia nanga
Hata nikikasirika
Kwako nitajilimaza
My love for you
Haijawai kuja isha
I don't wanna spend all my money
Kwa hizi keki za kinaamani
Moyoni bila wewe nitaumia
Hata pingamizi nyumbani
Natafta riziki my darling
Kumuomba jalali ni lazima
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for moore
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for mooore
Napenda kukutekenya kidogo
Ukicheza kwa maringo
Na kwanza legezanga umbo
Na kwanza unavyochezesha kauono
Unanichanganya ubongo
Moyoni mwangu wewe ndio wa mwisho
And I remember tukiwa wachanga
Nilikupenda ukanipendanga
And I swear we will be together
Untill forever
And I remember tukiwa wachanga
Nilikupenda ukanipendanga
And I swear we will be together
Untill forever
Nataka nikupeleke nyumbani
Ukawaone daddy na mammy
Baraka za wazazi ni lazima
Hata malimbano nyumbanii
Usije kufa moyo we niamini
Kugombana ni lazima
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for moore
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for mooore
Kwangu mapenzi ni balaa
Nitakupenda hata kama sina raha
Mapenzi yetu iende far
Wataona venye sisi tunang'aa
Na penzi limechacha
Watabaki wakipigwa na butwaa
Na kwako nimedata
Nitagaragara kama bata
Na kwako nimedata
Nitagaragara kama bata
My love for haitawai kuja isha
Nadeli deli na Imani
Moyo nimekuweka huko ndani
Kila kukicha na kila dakika
Hata tukikosa Amani
Usipende pende jirani
I'll never hurt you
I'll never loose you
I'll never hurt you
I'll never loose you
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for moore
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for mooore
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for moore
I don't wanna look for more
We ndio wangu wa tomorrow
I don't wanna look for mooore
Credits
Writer(s): Meltas Jsvan Juma, Maxwell Otieno Omondi, Kelvin Athumani Yalibi
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.