Down Chini
Yooh Spree Gang uuh DSM Yeah Skiza skiza yooh
Tulianzianga down chini tumetoka mbali na hatufichi
Mboka tu chini ya maji wanadai ati nimekua fishy
Morio alibambwa na sanse tangu izo enzi ameturn kua bitchy
Tuko na mastreet code hizi maends hakunanga masnitching
Ilibidi nidrop off habit zangu za kuchananga daily
Nilijipata nabonga mingi most of the time sisemi ukweli
Na niko kwa chain tunavuva unaeza dhani ni train kwa reli
Tumechoka na Citi Hoppa mbogi inadai kufly kwa heli
Fala alikulwa maheadi siku hizi ametulia kejani ameficha
My plug huroll maheadi rizz ni safi na bado ni mbichwa
First time nilihit iyo smoke stress zote zilitoka kwa kichwa
Nakataa izo swara za Opps on God naswali nikifunga na riswaa
Juu niko na morio mtaa ka zote nlianzianga kumi na sita(16)
Left na right tunatoka kehuti hawa manjege wakipita
Nasepa ka senke huezi nibamba hii mtaa naitwanga Cheetah
Natoa my mbogi kwa block wameniaminia mimi ndio spitter
Uoga sinanga tho mi mchanga nikipull up wanajua ni visanga
Msharp lakini si panga hii life maze ilibidi nimeipanga
Aligawa ikabidi nimezama I hope maze hujaniekea lawama
Napenda iyo uji ya mtama tho ni kienyeji maze hunibamba

Mbogi inadai kufly kwa heli so backseat nikona choppaa
Maopp wanaplot nastay ready come correct
Juu heat ikizidi risasi za copper(graaaaa)
Yeezys ni fake na bado unaflex(flex) kumbe we mtoi wa donda
Msupa amebeat na anapenda kuvex deadman bado naigonga
Tulianzanga down chini zero shilingi (cash cash)
Saa hii whole team iko winning(aah)
Road to a milli njia ni tricky stress ikizidi mzinga ya whiskey
Hakuna rahisi saka ganji venye over 40 husakanga bibi
Saka saka venye no 7 arsenali hutafuta freekick
I don't run the game I run the whole sport (rarara)
Trap guru sikufichi(aah) malocal hadi nazi export
Nikikosa benylin inabidi nisettle for coscof
Napass gas niki cough
Bado nainsist tupa hio roach
Olunga nilijaza na ounce (ha)call it turning up a notch
Kama deal si ya mabrown
Nabounce very fast without a doubt nigga
Chini ya maji incognigro
Kama panya route(route) niko every place nigga
Money ikigrow longer
Pia mjulubeng kwa hawa magroupies
Warzone kwa mic dead na spree
Tuko killing spree jo tuko shughuli nigga(biatch)

Credits
Writer(s): Louis Maina, Spree Spree, Deadman Deadman
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.