Misunderstood

Au treat me ka si exist
Me na success siemiss

Big up Nina Simone coz of you nina see more
A beautiful soul imekua so misunderstood
Na wish wange take time art ikue understood
but most just chase fads
God forbid Tik Tok ikue it's all it took
Kutoka most overlooked to most overbooked
Real talk, afadhali ni unguze kuliko ni serve impure
Nimetambua hii mziki tangu nikiwa mless
Ongeza ujuzi wa Ares, Kamlesh
Daylight robbery, ni kiwa in place zina come less
Reliving discography ya mzing
Kato Kimbota bars zimekua bless
Hao gota wakilola mbota, soon mitambo zita ni let loose
Siwezi fuata zao nyayo coz si wise ku compare
Nisha chorea so unaweza sema waliponea
Hi haters mlidhani nilikua hiatus, na fam
Nimekua kwa lab niki work on precision
Na faaham hii ilikua best decision kila kitu ni precise
Ndio ina sound nice

Tafadhali bless and protect my friends and family
Niko sure daily unacheki vile naweka bidii na si lii
Najua unajua sijawai lalisha niko hapa na lazima watatii
Tuna serereka lakini bado tuna elimisha jamii

Hip hopper kiu Kunta Kinte na pita na ukuta
Niki trace roots nipate Uhuru, ni truce sio surrender
Infact baada ya ku zima mbulu niliwasha yangu nuru,
Slowly realised sote tuko njiani na cha muhimu ni kuji discover
Life ni about journey more than destination
Vile dini true inaku sho
Njiani jirani ni wengi wako stranded hope before we depart tu align art na heart
Na waki madi the waters si u-see through
Juu si ni ile mbogi ili learn ku duff mpararo bila goggles
Ashana na hawa ma gargoyles
Mi ndio ire charii iripata midas
Kwa kira froor wash wash waki do my dance
Dere niki ride beat to the top bila silly stunts
Naongeza iliki nikipakua bila kiki thou, thats my stance
Beat au rhymes what comes first? Either way tracks zina get killed
Any day any where tracks zinaget killed

Tafadhali bless and protect my friends and family
Niko sure daily unacheki vile naweka bidii na si lii
Najua unajua sijawai lalisha niko hapa na lazima watatii
Tuna serereka lakini bado tuna elimisha jamii

Hao treat me like si exist
Mi na success ni siemiss
Hao treat me like si exist
Mi na success ni siemiss

Aliwasha kiko after kupata jiko na si ya meko
Mistook her for saving, kumbe ni Maguire
Saa ana gwaya bailif juu ya debts the miss took
Ukijitenga na mimi tuna burn bridges, it is what it is
Sidai iyo campaign about cramp pain, I said what i said
What should be understood haineed kua explained
Na imati kama haitakua played na umati
As long as kuna V.O.D, siwezi complain on what have made
Ku sum things up, G.O.D got me n that's something
Sometimes uko ahead of the curve
Most hits u die a first death, zangu na zi drown na fountain of youth
Na si chase love, cos chased love si the best love
Busy tuki build DKC hao ni any D they see
Only comment ni, lets count up it tuki fika show mwi

Tafadhali bless and protect my friends and family
Niko sure daily unacheki vile naweka bidii na si lii
Najua unajua sijawai lalisha niko hapa na lazima watatii
Tuna serereka lakini bado tuna elimisha jamii

Tafadhali bless and protect my friends and family
Niko sure daily unacheki vile naweka bidii na si lii
Najua unajua sijawai lalisha niko hapa na lazima watatii
Tuna serereka lakini bado tuna elimisha jamii

Credits
Writer(s): Peter Mutisya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link