Cheketua (feat. Alikiba)
It's her beloved (mmh)
This is Barnaba Boy Classic (ah, yah)
Your King I've got the message (eh, yeah)
"I love her, ah" (ah, yah)
Ow, ho, oh, oh, oh, eh, mh
Ooh, whoa-whoa-whoa, yah (yeah!)
Mmh-mmh, ah, ah, ah-ya -ya
Mm-mh, peke-peke, mh, ah
Nikupe habari, tangu nirudi safari
Nikakupata kimwali, tumeshinda dhohari
Nitazungumza naye bibi na babu wataridhia
Siku ya ndoa shela wigi
Mie kanzu na jambia
Tumeshinda vizingiti wambea hamtutishi
Maneno yenu uchafu
Yeye shabuni mie jiki
Mtasubiri mazishi, sisi bado tunaishi
Utamu wa wali nazi
Uule na parachichi
Ay mwali wangu (cheketua)
We ndiwe tunu yangu (cheketua)
Mbeba siri zangu (cheketua)
Mwenye tamu yangu (mh-mh, cheketua)
Ay mama, huyo (cheketua)
Tumetoka far away (cheketua)
Waache waongee (cheketua)
Maneno yao usijali (mh-mh, cheketua)
Peke, peke, peke, peke
I dedicated this song to you baby
My heart is for you baby
Them folks
Love is good baby
Hey, yeah-yeah, oh, yeah-eh, iyo-yo, ah-ah, ah-ah, (ah)
Nikupe, oh, nikupe, oh, midola
Arusha na Manyara ama nikupe Dar
Nikupe fahari, nikupe Dinari
Nikupe bahari, samaki waishi mbali
Roho zinaowapinda waambie ugonile (waambie ugonile)
Ndaga nkyasi wangu (woyi, woyi, woyi, woyi)
Tumeruka vizingiti wambea hamtutishi (wambea hamtutishi)
Utamu wa wali nazi, uutafune na ndizi
Nahisi mama, asali yangu we
Aje mama mkwe (cheketua) akupe na zawadi
Ay mwali wangu (cheketua)
We ndiwe tunu yangu (cheketua)
Mbeba siri zangu (cheketua)
Mwenye tamu yangu (mh-mh, cheketua)
Ay mama (cheketua)
Tumetoka far away (cheketua)
Waacha waongee (cheketua)
Maneno yao usijali (mh-mh, cheketua)
Peke, peke, peke, peke
Pa, papa, papa, papa, ah
Aah, ay mama
Ay, mama, ma (peke peke)
Ay waache waongee (peke peke)
Mh-mh-mh, ah, peke peke
Ay mama, tumetoka far away (tumetoka far away)
Barnaba (aah-ah)
Tausi ndege wangu (cheketua)
Ndege wangu wa thamani (cheketua)
Ndege ulioshika mali (cheketua)
Na vitu vyangu vya thamani (mh, cheketua)
Mie Adam yeye ndio Hawa (cheketua)
Nipe tena mama (cheketua)
Cheke, cheke, cheke (cheketua)
Mh-mh (cheketua)
Yeah!
Mopao your King
Love is good baby
This is Barnaba Boy Classic (ah, yah)
Your King I've got the message (eh, yeah)
"I love her, ah" (ah, yah)
Ow, ho, oh, oh, oh, eh, mh
Ooh, whoa-whoa-whoa, yah (yeah!)
Mmh-mmh, ah, ah, ah-ya -ya
Mm-mh, peke-peke, mh, ah
Nikupe habari, tangu nirudi safari
Nikakupata kimwali, tumeshinda dhohari
Nitazungumza naye bibi na babu wataridhia
Siku ya ndoa shela wigi
Mie kanzu na jambia
Tumeshinda vizingiti wambea hamtutishi
Maneno yenu uchafu
Yeye shabuni mie jiki
Mtasubiri mazishi, sisi bado tunaishi
Utamu wa wali nazi
Uule na parachichi
Ay mwali wangu (cheketua)
We ndiwe tunu yangu (cheketua)
Mbeba siri zangu (cheketua)
Mwenye tamu yangu (mh-mh, cheketua)
Ay mama, huyo (cheketua)
Tumetoka far away (cheketua)
Waache waongee (cheketua)
Maneno yao usijali (mh-mh, cheketua)
Peke, peke, peke, peke
I dedicated this song to you baby
My heart is for you baby
Them folks
Love is good baby
Hey, yeah-yeah, oh, yeah-eh, iyo-yo, ah-ah, ah-ah, (ah)
Nikupe, oh, nikupe, oh, midola
Arusha na Manyara ama nikupe Dar
Nikupe fahari, nikupe Dinari
Nikupe bahari, samaki waishi mbali
Roho zinaowapinda waambie ugonile (waambie ugonile)
Ndaga nkyasi wangu (woyi, woyi, woyi, woyi)
Tumeruka vizingiti wambea hamtutishi (wambea hamtutishi)
Utamu wa wali nazi, uutafune na ndizi
Nahisi mama, asali yangu we
Aje mama mkwe (cheketua) akupe na zawadi
Ay mwali wangu (cheketua)
We ndiwe tunu yangu (cheketua)
Mbeba siri zangu (cheketua)
Mwenye tamu yangu (mh-mh, cheketua)
Ay mama (cheketua)
Tumetoka far away (cheketua)
Waacha waongee (cheketua)
Maneno yao usijali (mh-mh, cheketua)
Peke, peke, peke, peke
Pa, papa, papa, papa, ah
Aah, ay mama
Ay, mama, ma (peke peke)
Ay waache waongee (peke peke)
Mh-mh-mh, ah, peke peke
Ay mama, tumetoka far away (tumetoka far away)
Barnaba (aah-ah)
Tausi ndege wangu (cheketua)
Ndege wangu wa thamani (cheketua)
Ndege ulioshika mali (cheketua)
Na vitu vyangu vya thamani (mh, cheketua)
Mie Adam yeye ndio Hawa (cheketua)
Nipe tena mama (cheketua)
Cheke, cheke, cheke (cheketua)
Mh-mh (cheketua)
Yeah!
Mopao your King
Love is good baby
Credits
Writer(s): Barnaba Classic, Alikiba Alikiba
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.