Unasema (feat. Gibo)

Set hiyo date na time tusolve hiyo beef na ufike mapema
Hiyo skeng inahem skeng ina huh skeng inatema
Na tena ni ngori kufika huku ng'ambo ju kwanza ka huna agenda
Bado nashindwa ni nini unasema ni nini unasema

Niko mangwai na sitaki malecture
Ju life ilikam na pressure
Hao mangeus wanadai tu pesa
Bitch call you later
Kama ni game unadai me hucheza
Make it rain kama dem ananyesha
200Gs ndio maboyz wanaplace kwa meza
Jina designer in the hood they call me satchy but madem hiniita papi
Niko on we nishow saa ngapi ka ni 420 ill be happy
Wanabonga shit bila nappy who what tell me wapi
Tuko underground but form ikijipa bills najua ntalipa
Na sitaki mahoe na madiva kama ni humble she's a keeper
Na mtaa ni triple uno call me thrice ndo me naitika
Na mtaa ni triple uno call me thrice ndo me naitika
Tunafanya hii job ka nyuki kuja vibaya utafeel hiyo sting
Tunapima msee kwa throne now you gotta protect your king
We just doing our thing
Young and broke but things will change
Now I feel like im in a cage
Same book different page
But the top is in my range

Set hiyo date na time tusolve hiyo beef na ufike mapema
Hiyo skeng inahem skeng ina huh skeng inatema
Na tena ni ngori kufika huku ng'ambo ju kwanza ka huna agenda
Bado nashindwa ni nini unasema ni nini unasema
Set hiyo date na time tusolve hiyo beef na ufike mapema
Hiyo skeng inahem skeng ina huh skeng inatema
Na tena ni ngori kufika huku ng'ambo ju kwanza ka huna agenda
Bado nashindwa ni nini unasema ni nini unasema

Ni nini unasema ni nini unasema
Opinion yako kwangu haimatter
Si ati ni dema kwa meza ntaipata
Siezi give an F sikubeba
Siezifuata fala nitahema
Sieziingia mechi sijadema
Siezifanya blunder kwanza tena
Na usirudi useme sikusema
If bad bad si lawama baadae
Haba nah aba nangoja ijae
Nina masunguch nangoja zizae
Mali nchanganye hapo siezideny
Point ilifika hata siezi decide
Damu inaboil me nataka kujinice
Na pasi alisema nitulie nijisearch
Emmy na kiki ile boo ukinijudge
Me and my angel ni ka tuna grudge
Nipite na wall kwani unangoja crack
Lupita na long umecheki hiyo ass
Suti ni clean nakaa baby boss
Fruits of labour ilifika imefinywa
Boyz wakajam of course wamesinywa
Chi chi chi kwa show ni machozi
Wawawa washaitisha wakombozi
Character zangu jinga sumu
Huezidevelop tender variety

Ka ni kukata nasip kwa depot
Na si ni juz ulisema uta detox
Leo tuko fiti kikiting' gigo
Lakini matoti to nyaka wathiigo
Wa last alicatch sikubeba ringoz

Set hiyo date na time tusolve hiyo beef na ufike mapema
Hiyo skeng inahem skeng ina huh skeng inatema
Na tena ni ngori kufika huku ng'ambo ju kwanza ka huna agenda
Bado nashindwa ni nini unasema ni nini unasema
Set hiyo date na time tusolve hiyo beef na ufike mapema
Hiyo skeng inahem skeng ina huh skeng inatema
Na tena ni ngori kufika huku ng'ambo ju kwanza ka huna agenda

Bado nashindwa ni nini unasema ni nini unasema
Pilau inailiki na bado hailiki
Waiter ni kama silipi
Denge ameiva bonge la figa lakini duanzi mapishi
Boy wako ni mbleina sasa ma traine ukiulizwa umedunga za nini
Hii mziki ni dini bado huyo rapper anazaoza he still wana be me
Huyo ball alihema ref alimchuja kwa court na quarter ya kwanza
Huku snitch anagenya kesi inabaki alifika akaanza kubanja
Si hifika mapema ndo wakifika wapate tushanga jipanga
Denge anapaka mawanja huku nasaka nipate kiwanja
Hatufanani hizo ufala ni sampuli gani
Sibongi na bunny teke ni ya tumbo ndio warundi nyumbani
Drip iko shwari niaje maasai anadunga miwani
Vile huwaga nashinda hewani wengi mabeshte huniita rubani
Spoken ndio jina napull up na beamer hata kama ni ndoto amen
Siku moja itajipa si huwajibika bora tu ubebe the gang
Again and again si bado unairusha buda utadhani weekend
Uliza leken si huwateka huko ngong ni maji napenda

Credits
Writer(s): Brian Salaton Lemaindo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link