Tawile

Si wenyewe watoto wa paka
Hatuwekewi mipaka
Mungu akipenda hata usipo taka
Ukipinga utadata
Haya we
Tawile
Tawile
Tawile
Mwanawe
Tawile
Tawile
Tawile
Hay we
Face ni yes mnatania
Das iko taifa N'nakwambia
Nikifanya kweli mnanunia
Hapo mnapofeli mnabania
Mnapata deprestion
Mnachoamini mkiona akihappen
(Oe)
Namnavyopenda tension
Na mademu zenu mnashare roshion
(Oe)
Huu ujuzi awaujui
Na wanadata ni so
Hii mijuzi
Aufumuhi kwakutazama kioo

Si wenyewe watoto wa paka
Hatuwekewi mipaka
Mungu akipenda hata usipo taka
Ukipinga utadata
Haya we
Tawile
Tawile
Tawile
Mwanawe
Tawile
Tawile
Tawile
Hay we
Haya we
Tawile
Tawile
Tawile
Mwanawe
Tawile
Tawile
Tawile
Hay we
Nilipo sipo N'hapotaka bakia
Nipo simple kama Triple Org
Na kama ipo
Ipo tu Uwezi zuia
Huu ni wakati wamapito
Hata maandiko ouni
Mi mtu mzito ushanisikia
Kila pancha nilipanch komi
Mmh
Sijui nijiloga famie
Ninapokua na mboga tamu kunoga homi
(Homi)
Mmh
Homio kwio
Mi kwanza wagasipendi washikaji wa ndio ndio
Bishop sikuoni hata chooni
We mbio mbio
Nausitake wakuwekee honi
Utakua Poni
Mi sio
Niwazi vile wanangu tumepinda
Hatuwazi tunatongoza hadi maninja
Sio maninja tu hata wanaovaa kininja
Na tukikosa tunatongoza hadi wenye mimba

Si wenyewe watoto wa paka
Hatuwekewi mipaka
Mungu akipenda hata usipo taka
Ukipinga utadata
Haya we
Tawile
Tawile
Tawile
Mwanawe
Tawile
Tawile
Tawile
Hay we
Haya we
Tawile
Tawile
Tawile
Mwanawe
Tawile
Tawile
Tawile
Hay we



Credits
Writer(s): Fareed Kubanda
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link