Adelle Hello Cover

Heloo
Mimiii
Nauliza kama tunaweza kutana
Ni long time nakukosa sana
Na kama hutaki nitaelewa
Maana sio rahisi
Kwani hata mimi
Nafsi inanisuta

Heloo
Je unanipata
Muda ujakipoza kidonda change
Bado nakiuguza
Na niko bondeni
Huku kumbukumbu zimenitanda
Tulivoshibana ujanani
Kama ilivyotokea

Heloo toka mjii huu
Ooh kinachoniudhi uwa napiga simu
Nikueleze najuta
Kukutenda
Ila nikipiga ushiki
Nahisi kama unanikwepanga

Heloo toka mjii huu
Ooh angalau unaezasema nimejaribu
Kukueleza najuta kuumiza moyo wako
Ila ni kama
Inamaana maana ni wazi
Ujanitenda

Heloo heloo heloo heloo heloo heloo heloo heloo
Heloo heloo heloo heloo heloo heloo heloo heloo

Heloo
Uhali gani
Natumai uko salama
Je uliweza kuhama ule mtafsira nadii

Heloo
Ivi ushawaiwa
Maana mi ningali mpweke
Nashindwa kuanza tena
Tatizo mazoea

Moyoni mwangu alama uliwacha
Nakuwaza,
Je unaniwaza
Ama tama kwangu ulishakataa
Moyoni mwangu alama uliwacha
Nakuwaza
Je unaniwaza
Ama tama kwangu ulishakataa

Heloo toka mjii huu
Ooh kinachoniudhi uwa napiga simu
Nikueleze najuta
Kukutenda
Ila nikipiga ushiki
Nahisi kama unanikwepanga

Heloo toka mjii huu
Ooh angalau unaezasema nimejaribu
Kukueleza najuta kuumiza moyo wako
Ila ni kama
Inamaana maana ni wazi
Ujanitenda

Heloo heloo heloo heloo heloo heloo heloo heloo
Heloo heloo heloo heloo heloo heloo heloo heloo



Credits
Writer(s): Adele Laurie Blue Adkins, Gregory Allen Kurstin
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link