Please

Babe Kesho mbali, kesho mbali kesho mbali please!
Natamani natamani, usiwe mbali na mi!
Babe Kesho mbali, kesho mbali kesho mbali please!
Natamani natamani, usiwe mbali na mi!

Vacation si twende Dubai!
Wasikudanganye eti sifai!
We Mama lao mi Bablaii!
Umenipanda mori Masai!
Yeah i know you got me i got you too!
We gon make a story Bibi na Babu!
Bado haitoshi nipe part two!
Niamini ninayosema sitokuzingua! "Sitokuzinguaa"
Natunza moyo wako mi sitousumbua!
"Sitousumbua"
Mi mwamvuli wako nikukinge Jua! "Nikukinge jua"
Nifanye unavyotaka we ndio umeamua aah umeamuaa aah!

Babe Kesho mbali, kesho mbali kesho mbali please!
Natamani natamani, usiwe mbali na mi!
Babe Kesho mbali, kesho mbali kesho mbali please!
Natamani natamani, usiwe mbali na mi!

Mmh mmh mmh!
Pressure pressure unanituliza pressure!
Unanipa vibe na vesha!
Sioni hata jau kukesha!
Ndani ya nyumba viutani utani!
Karata jamvini, Bara na Pwani!
Niwe na wewe!
Ndani ya nyumba viutani utani!
Karata jamvini, Bara na Pwani!
Niamini ninayosema sitokuzingua! "Sitokuzinguaa"
Natunza moyo wako mi sitousumbua! "Sitousumbua"
Mi mwamvuli wako nikukinge Jua!
"Nikukinge jua"
Nifanye unavyotaka we ndio umeamua aah umeamuaa aah!

Babe Kesho mbali, kesho mbali kesho mbali please!
Natamani natamani, usiwe mbali na mi!
Babe Kesho mbali, kesho mbali kesho mbali please!
Natamani natamani, usiwe mbali na mi!

Credits
Writer(s): Shabani Shabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link