Mimi na Wewe (Inspirational song)

Eeh eeh eeh!
Ah say ah yeah
Bibi na Babu mi waliniambia!
"Kidole kimoja hakivunji chawa"
Yatatimia kama si tuna nia!
"Umoja wetu si kwetu ndio dawa"
Umoja wetu ndio utafanya tuijenge jamii tunayoitaka!
Tujiepushe na udini kabila tusiwe na matabaka!

Yaani pamoja mi na we!
Ah, Mimi na wee!
Yaani pamoja mi na we!
Mimi na wee!
Yaani pamoja mi na we!
Ah, Mimi na wee!
Yaani pamoja mi na we!
Mimi na wee!
Tusipoteze dira wee dira wee!
Si tupambane everyday ooh everyday!

Mchaka mchaka chinja alimselema Hadija!
Naamini nitashinda maendeleo uhakika!
Mchaka mchaka chinja alimselema Hadija!
Naamini nitashinda kuvipigana hivi Vita!
Never Give up, Never Give up!
Ooh never give up if you're a believer!

Yaani pamoja mi na we!
Ah, Mimi na wee!
Yaani pamoja mi na we!
Mimi na wee!
Yaani pamoja mi na we!
Ah, Mimi na wee!
Yaani pamoja mi na we!
Mimi na wee!
Tusipoteze dira wee dira wee!
Si tupambane everyday ooh everyday!

Ah say!
Na kila siku napambana iwe usiku ama mchana ilimradi nipeleke nyumbani!
Inanitegemea familia napambana ili mkono uende kinywani!
Kutengana kwetu mwiko!
Tunataka mabadiliko!
Naamini Mungu yupo!
Tukiungana mbona itakuwa simple!

Yaani pamoja mi na we!
Ah, Mimi na wee!
Yaani pamoja mi na we!
Mimi na wee!
Yaani pamoja mi na we!
Ah, Mimi na wee!
Yaani pamoja mi na we!
Mimi na wee!
Tusipoteze dira wee dira wee!
Si tupambane everyday ooh everyday!



Credits
Writer(s): Shabani Shabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link