Nafasi

Anasema ana mtu wake anampenda sana!
Moyo wangu wote upo kwake ah break ishakwama!
Kama ndege kwenye tundu lake mtoto kwa Mama!
Natamani japo busu lake nitoke kwa janga!
Cheki anavyonesa pozi zake za hila!
Moyo kufa ganzi na kichwani hasira!
Mtoto aliefunzwa desturi na mila!
Mi ningali boss ningemwaga mahela!
Ila sihitaji kabisa nikukose hata punje!
Hata punje!
Kama vipi lawama nipo radhi wanifunge!
Sihitaji kabisa nikukose hata punje!
Kama vipi lawama Hii eeh eeh!

Naililia nafasi Ooh ooh ooh!
Bora unipe nafasi Ooh ooh ooh ooh!
Naililia nafasi!
Bora unipe nafasi Ooh ooh ooh ooh!

Kama ndama kwenye titi lake nyonya maziwa!
Natamani ningekuwa wake ila nishawahiwa!
Akipiga zile pigo zake mjomba unaibiwa!
Sifa zote wacha ziende kwake ipo siku nitapewa!
Tilalilalila na mapenzi Ooh ooh!
Moyo nishaoza basi nipe kidogo!
Kote nishapita sijaona Ooh Ooh!
Nipe masambusa mi nitakupa mihogo!
Ila sihitaji kabisa nikukose hata punje!
Hata punje!
Kama vipi lawama nipo radhi wanifunge!
Sihitaji kabisa nikukose hata punje!
Kama vipi lawama Hii eeh eeh!

Naililia nafasi Ooh ooh ooh!
Bora unipe nafasi Ooh ooh ooh ooh!
Naililia nafasi!
Bora unipe nafasi Ooh ooh ooh ooh!
Naililia nafasi Ooh ooh ooh!
Bora unipe nafasi Ooh ooh ooh ooh!
Naililia nafasi!
Bora unipe nafasi Ooh ooh ooh ooh!



Credits
Writer(s): Shabani Shabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link