Love (Instrumental)

LOVE BY THEE EXIT BAND
Mapenzi yakudumu yana historia
Heshima na upole ndio unafanya unanivumilianga
Sitaki tugombane utakuja lia
Na nitasema I'm sorry
Kwa mbeleko nitakuimbiaga
She so beautiful
I've never seen a girl like u before
Nitakupenda mpaka tu kifo
Na kwako nishalewa nishapata jiko
Wengi wamesema sipo
Kwa penzi nishadota mimi nipo
Nitakuimbia ata wimbo
Mpenzi wengi njo ucheze kwa maringo

So let me love you
We ni wangu
Nitakupenda till I die
Ubavu wangu mama ya watoto wangu
Ukiniwacha nitacry
So let me love you
We ni wangu
Nitakupenda till I die
Ubavu wangu mama ya watoto wangu
Ukiniwacha nitacry

Give me some love
Some love
Mi nataka more of your love

Na kwako nishajipanga
Moyo umezama kwako wee manyanga
Najuwa watasemanga
Pendo langu kwako ushang'oa nanga
Have never felt a thing like this
From the very first time you gave me a kiss
Mrembo baby unanipa chills
Penzi nishafunga hata keys
Niache nikuite honey boo
Hata nikikesha kwenye booth
Unanipa moyo dunda dudu dudu uuu
Aaaaah Sabina
Moyo wangu ushapenda chuki sina
Usije kunipanga mwanzo nitachina
Bado mtoto wa mama me kitinda mimba
Aaaaah Sabina
Moyo wangu ushapenda chuki sina
Usije kunipanga mwanzo nitachina
Bado mtoto wa mama me kitinda mimba

So let me love you
We ni wangu

Nitakupenda till I die
Ubavu wangu mama ya watoto wangu
Ukiniacha nitacry
So let me love you
We ni wangu
Nitakupenda till I die
Ubavu wangu mama ya watoto wangu
Ukiniacha nitacry
Give me some love
Some love
Mi nataka more of your love



Credits
Writer(s): Meltas Jsvan Juma, Maxwell Otieno Omondi, Kelvin Athumani Yalibi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link