Shida Ya Nini

WOooiiiiii
Bsb nation
Risto risto risto

Watu wana susa wee unaitisha
Shida ya nini
Unajichocha na hauta tosha
Shida ya nini
Eti niache ganja nivute kete
Nah nah nah
Maswali mengi mi hujiuliza
Shida ya nini

Blanda zinaletwa na nini
Wakati sote ni watu wa Jah
Wivu unaushiriki kwanini
Nani sote tunalia njaa

Kujituma hatutaki kabisa
Kwa waganga ni kweli twafika
Tasbii tuko nazo hirizi tunazo eeh
Shida ya nini
Amekua akidanga rozali kwa shingo eeeh
Shida ya nini

Chunga baba utapotea hivi vitu hujazoea
Kuna mambo unakanyagia sije kesho ukajutiaa
Chuga baba utapotea kuna mambo hujazoea

Shida ya nini (ala) shida
Shida ya nini (ala) shida
Shida ya nini (ala) shida
Shida ya nini (ala) shida

Unapata pesa unalepuka
Shida ya nini
Wazazi wako umewatupa
Shida ya nini
Akina njeri wamekushika
Shika shika shika
Hambiliki haushikiki
Shida ya nini

Huu ujinga ni lini utaacha
Hata miaka huoni inakuacha
Na huu upuzi ndo bado unataka
Kwenda mbele hutaki mkaka
Unijiita king twaona queen
Shida ya nini
Mademu wingi na huitwi baba
Shida ya nini

Chunga baba utapotea hivi vitu hujazoea
Kuna mambo unakanyagia sije kesho ukajutiaa
Chuga baba utapotea kuna mambo hujazoea

Shida ya nini (ala) shida
Shida ya nini (ala) shida
Shida ya nini (ala) shida
Shida ya nini (ala) shida



Credits
Writer(s): Khamisi Abdallah, Risto Bsb Nation
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link