Finalize (Radio Edit)

Yeah,
Ebebe Ebebe
Braxy
Walizani tunatry
Kumbe tunafinalize
Yeah, Ooh no no no no
Walizani tunatry
Kumbe tunafinalize
Yeah,Yeah, aah

Suprize tunaziplus hatuminize
Kama mchezo uwanjani huwaga twaplay Nice
Wanaongea hatuzingatii tunaroll dice
Umoja kwetu nguvu hatutengani till we die
Tunavyoangaika na haya Maisha Kama cinema
Na bado wanachukulia poa ila si vyema
Mimi na wanangu huwaga hatumind
Chuki tunazisahau vicheko twavirewind
Tunapolala amani tunapoamka amani
Hatupoteani hata utushikie gun
Wanaongea mtaani, si hatuna habari
Ok we unatag mimi na wanangu company
Tunapotoka mbali, tulipo sio zari
Tunapoenda mbali ngumu kufika ata uwe na gari
Wanatupa visogo ila tunawajua
Wanachafua logo kumbe wanatuinua

Walizani tunatry
Kumbe tunafinalize
Yeah, Ooh no no no no
Walizani tunatry
Kumbe tunafinalize
Yeah, Ooh no no no no no
Walizani tunatry
Kumbe tunafinalize
Yeah, Ooh no no no no no
Walizani tunatry
Kumbe tunafinalize
Yeah

Braza tupo serious braza tupo serious
Na Kama haupo serious kamwe hatuitaji ubia
Tunasaka rupia ndio maana tumepania
Wanakosaga amani tunapozichenji gia
Kufa au kuzimia, Tumetia Nia
Wanakula Kona si tunakula beer
Tunavyozibugia, usije ukatualibia
Mlango tuliotokea sio tulioingilia
Na wanavyotubania tunatoboa hawana idea
Tupo kwenye vikao vya kusldiscuss tasnia
Wanatukazia wanatuhofia
Tutawachezesha samba ndoto zitapotimia
Ukipata wanawahi tangaza eti walikusaidia
Wangekuwa wanagawa riziki hata sumni wasingetugaia

Walizani tunatry
Kumbe tunafinalize
Yeah, Ooh no no no no
Walizani tunatry
Kumbe tunafinalize

Walizani tunatry
Kumbe tunafinalize
Yeah, Ooh no no no no
Walizani tunatry
Kumbe tunafinalize

Watu wabaya association
Ubaya ubaya wanangu congratulations
Chimo Sound
Braxy



Credits
Writer(s): Abdul Mwamia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link