Nitalia

Nitalia ukiniacha nitaumia!
Chuchurututu!
Nitaumia ukinimwaga nitalia!
Chuchurututu!
Nitalia churututu, Chuchurututu!
Nitaumia churururururu, Chuchurututu!

Si unajua kipenzi niko mbali!
Natafuta pesa jua kali!!
Jua kupata kukosa zote hali!
Nitarudi mupenzi usijali!
Si unajua kipenzi niko mbali!
Natafuta pesa jua kali!!
Jua kupata kukosa zote hali!
Nitarudi mupenzi usijali!

Kwanza salamu ya kwanza mpe Mama angu!
Ooh mwwambie nimemkumbuka sana!
Ya pili Rahma dada angu!
Mwambie bado sijatakata tamaa!
Tatu kwako roho yangu nakuwaza usiku silali!
Vumilia kichuna changu usije kurubunika na magari!
Mi najua roho inachoma!
Maisha yetu magumu sana!
Ila ninaimani Mollah ataniona!
Hivi punde nitarudi mama!
Mi najua roho inachoma!
Maisha yetu magumu sana!
Ila ninaimani Mollah ataniona!
Na hivi punde nitarudi maa Ooh ooh oh!

Si unajua kipenzi niko mbali!
Natafuta pesa jua kali!!
Jua kupata kukosa zote hali!
Nitarudi mupenzi usijali!
Si unajua kipenzi niko mbali!
Natafuta pesa jua kali!!
Jua kupata kukosa zote hali!
Nitarudi mupenzi usijali!

Huku nilipo maa kila mtu na wake!
Mitego ya wanafiki mammie isikupate!
Wezidi vumilia natafuta nilete!
Nilisikia umeugua nikapata kitete!
Usione kama mi huku nina furaha!
Nafanya kila njia ili kieleweke!
We bora uniombee nisipate balaa!
Nimechoka na baridi nije tuwe wote!
Ni wewe naomba unielewe!
Sitaki nikukose wewe!
Mi nalia na wewe!
Nimekwacha nyumbani mwenyewe!
Natamani uje niishi na wewe!
Natamani!
Hiiieeeeeh hiiiiiiiiiiiiiiih iiiiiiiiih!!!!

Si unajua kipenzi niko mbali!
Natafuta pesa jua kali!!
Jua kupata kukosa zote hali!
Nitarudi mupenzi usijali!
Si unajua kipenzi niko mbali!
Natafuta pesa jua kali!!
Jua kupata kukosa zote hali!
Nitarudi mupenzi usijali!

Nimekuchagua wee!
Kwa mwingine sitokwenda Mama!
Nilindie penzi wee!
Usiligawe kwa wengine Mama!
Nitalia ukiniacha nitaumia!
Nitaumia ukinimwaga nitalia!
Eeh eeh eeh!

Si unajua kipenzi niko mbali!
Natafuta pesa jua kali!!
Jua kupata kukosa zote hali!
Nitarudi mupenzi usijali!
Si unajua kipenzi niko mbali!
Natafuta pesa jua kali!!
Jua kupata kukosa zote hali!
Nitarudi mupenzi usijali!
Si unajua kipenzi niko mbali!
Natafuta pesa jua kali!!
Jua kupata kukosa zote hali!
Nitarudi mupenzi usijali!

Nitalia ukiniacha nitaumia!
Chuchurututu!
Nitaumia ukinimwaga nitalia!
Chuchurututu!
Nitalia churututu, Chuchurututu!
Nitaumia ukinimwaga nitalia!



Credits
Writer(s): Shabani Shabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link