Mtama

Endeleza ni kama
Unadai nisitoke ni kam na
Nim tamtam lugha mkamba
We mshamba ushamwaga, mtama
Mtama ushamwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama

Huyu dwanzi ni kama ashamwaga mtama
Hakuna ka comeback
Alichoma offe aliendaga na sandak
Maziwa sawa ye hupenda propaganda
Huwezi simamisha na unakuja na standard
Ukuje mbaya nakuteka unaenda under stand
Ukiwa maji na uko high siwezi panda
Sira za nini nikiride unatarmac
Tangu lini mbuzi mimi nikawa na tamaa
Baraka tele kutoka Mungu na muthama
Sijairuka vitu me huchapa tu masamaa
Yule boyz alikwama

Endeleza ni kama
Unadai nisitoke ni kam na
Nim tamtam lugha mkamba
We mshamba ushamwaga, mtama
Mtama ushamwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama

Ya wenyewe ni tamu hadi ukakwama
Pesa ya sadaka usishikishe handas
Hapa ka si mbuzi uyo ni rapper ndama
Ulituma fare na shawry bado akatarmac
Alipata duba si alidai more supper
Bro huna tv buh unamore drama
Me na shawry goals ah more sala
Fat boy gwaash bitch ni bad manners
Mbuzi gang first class kila beat gangbang
Mr Nun non stop
Fathermoh gangastars
Sahi me ni father mmmh
Na ukinimess me ni karma

Endeleza ni kama
Unadai nisitoke ni kam na
Nim tamtam lugha mkamba
We mshamba ushamwaga, mtama
Mtama ushamwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama

Ati Fathermoh ni dancer
Hujaijua ujinga pia ni cancer
Nyonga na mikono mbili basi hiyo ni handsome
Sperm bank nimezijaza kwa banker
Ni tanker lakini yi hukuwanga pastor
Pastor lakini yi huvuta ganja
Ni more star ye hukata ka amejipanga
Kwa bukla sijaitoka bila number
Ni monster ye hukunywanga na wababa
Shakes pia mepagawa na super strikas
Me hata ikilipishwa unasmash up ati umechoka kunywa maji
Alafu unaeza fanya niniiii

Endeleza ni kama
Unadai nisitoke ni kam na
Nim tamtam lugha mkamba
We mshamba ushamwaga, mtama
Mtama ushamwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama
Na usha mwaga mtama, mtama



Credits
Writer(s): Mike Makori, Joseph Getugi Nyamweya, Moses Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link