Kelele
Kee ka ni ke siwezi mind hii kelele
Ke ke huwa kelele
Siwezi mind hii kelele
Siwezi mind hii kelele
Wanajifanya hatupigi hizi kelele
Tuona kas ka kufungua pekele
Kidole cha kati ah kumbe ni lele
Haiya bas katika songa kilele
Kata kibele hapa kata kidere
Songa tu mdogo usiforce stingo ni tele
Me si simba umeshikwa na iyo gere
Hii ni kitu mboga kwangu hii ni mothere
Haya basi chotere haiya basi chothenge
Ngoma ikona vibes gang tumeshona na vitenge
Penye nawaroga nipe mic hapa ni gang
Kata kama mobimba ngoma ibambe
Kaa movie teren teren
Ni wikendi sherehe sherehe
Ni mashuksha pekeleng kelele
Nawajump start leo me ni kadere
Kee ka ni ke siwezi mind hii kelele
Ke ke huwa kelele
Siwezi mind hii kelele
Siwezi mind hii kelele
Naskia compe stiff sai ni ya kutake away
Treasure hi uenda redeem si ako kwangu na ako topless
Kifua ka ni flat kuvaa bra ni pointless
Eeh mistake kukatia ngeus mnatoka same estate
Kuleta side ni hard kuna much at stake
Manduru kelele excess yeng anajiexpress
Anaover do kelele juu anadai kuwa next
Stage siwezi panda ka hakuna kelele
Alipass through ball nikapurura
Nilikuwa simp but nikachunguza kelele
Inashow huwezi fix vitu zinanuka
Kaa movie teren teren
Ni wikendi sherehe sherehe
Ni mashuksha pekeleng kelele
Nawajump start leo me ni kadere
Kee ka ni ke siwezi mind hii kelele
Ke ke huwa kelele
Siwezi mind hii kelele
Siwezi mind hii kelele
Ke ke huwa kelele
Siwezi mind hii kelele
Siwezi mind hii kelele
Wanajifanya hatupigi hizi kelele
Tuona kas ka kufungua pekele
Kidole cha kati ah kumbe ni lele
Haiya bas katika songa kilele
Kata kibele hapa kata kidere
Songa tu mdogo usiforce stingo ni tele
Me si simba umeshikwa na iyo gere
Hii ni kitu mboga kwangu hii ni mothere
Haya basi chotere haiya basi chothenge
Ngoma ikona vibes gang tumeshona na vitenge
Penye nawaroga nipe mic hapa ni gang
Kata kama mobimba ngoma ibambe
Kaa movie teren teren
Ni wikendi sherehe sherehe
Ni mashuksha pekeleng kelele
Nawajump start leo me ni kadere
Kee ka ni ke siwezi mind hii kelele
Ke ke huwa kelele
Siwezi mind hii kelele
Siwezi mind hii kelele
Naskia compe stiff sai ni ya kutake away
Treasure hi uenda redeem si ako kwangu na ako topless
Kifua ka ni flat kuvaa bra ni pointless
Eeh mistake kukatia ngeus mnatoka same estate
Kuleta side ni hard kuna much at stake
Manduru kelele excess yeng anajiexpress
Anaover do kelele juu anadai kuwa next
Stage siwezi panda ka hakuna kelele
Alipass through ball nikapurura
Nilikuwa simp but nikachunguza kelele
Inashow huwezi fix vitu zinanuka
Kaa movie teren teren
Ni wikendi sherehe sherehe
Ni mashuksha pekeleng kelele
Nawajump start leo me ni kadere
Kee ka ni ke siwezi mind hii kelele
Ke ke huwa kelele
Siwezi mind hii kelele
Siwezi mind hii kelele
Credits
Writer(s): Mike Makori, Joseph Getugi Nyamweya, Moses Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.