Naamini

I can

Uo, o! houu!
Haleluya,
Aaa, haaa! haaa!
Mh hhh!
Naiona kesho ile ing'arayo
Licha ya magumu
Haya ya leo
Uwezo wake Mungu
Siyo sawa na wanadamu
Ayafanyayo wanadamu hawawezi
Mungu anaweza Kufanya njia
Mahali pasipo na njia
Anaweza fungua milango
Iliyofungwa
Mungu anaweza kufanya njia
Mahali pasipo na njia
Anaweza fungua milango
Iliyofungwa
Bahari
Si kikwazo
Uuu, huuh, huuu!
Anaweza kufanya njia
Jagwaga nalo
Si tatizo
Uuu, huuh, huuu!
Anaweza kutoa maji jangwani
Ndiyo maana naamini

Naamini (Amini)
Kwa Mungu
Najua atafanya njia
(Naamini uwezo wake)
Naamini uwezo wake
Hakuna la kumshinda
(Ndiyo maana naamini)
Naamini (Amini)
Kwa Mungu
Najua atafanya njia
(Naamini uwezo wake)
Naamini
(Uwezo wake)
Uwezo wake
(Uuu, huuh, huuu!)
Hakuna la kumshinda
(Huuh, huu, huuu!)

Haleluyaah,
Mh mh mhh!

Giza, giza litakoma
Vita, vita vitakoma
Kero, kero zitakoma
Majaribu yatakoma
Na majanga yatakoma
Kila kitu kitakoma
Ila huyu Bwana wa mabwana
Na ijulikane anaishi leo
Awezaye badili tungo tata
kuwa tungo rahisi
Huyu ndiye Bwana
Bwana wetu Bwana
Tena, huifuta miguu yenye tope
Kuingia ikulu
Huyu ndiye Bwana
Wa mabwana Bwana
(Amini)

Naamini (Kwa mungu)
Kwa Mungu
(Najua)
Najua atafanya njia
(Huyu Bwana)
Naamini
(Kwa uweza wake)
Uwezo wake
(Haleluya)
Hakuna la kumshinda
(Kweli Naamini)
Naamini (Kwake)
Kwa Mungu
(Haleluyaa)
Najua atafanya njia
(Huuu, uuuh!)
Naamini
(Uwezo wake)
Uwezo wake (hakuna)
Hakuna la kumshinda
(Kumshindaa)
(Ooh houu!)

Vyovyote, kwa kupata
Kwa kukosa
Bado nipo na Bwana
Bwana
Nuruni, gizani,
Jaribuni,
Bado nipo na Bwana
Ooh, Bwana
(Bado nipo)

Na Bwa bwa Bwana
(Bado nipo)
Na Bwa bwa Bwana
(Bado nipo)
Bwana, Bwana
(Ooh, bado nipo)
Na Bwa bwa Bwana
(Bado nipo)
Na Bwa bwa Bwana
(Bado nipo)
Bwana, Bwana
(Ooh, bado nipo)
(Bado nipo)
(Bado nipo, oooh! hoo, oh!)



Credits
Writer(s): Yona Chitema
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link