Hunitaki

Binadamu kweli wabaya!
Tena wabaya sana!
Kumlisha maneno mabaya!
Mupenzi nimpendae sana!
Umeniacha natangatanga!
Ukanitupa kwa njia panda!
Bila ya ngapi siwezi panda!
We ndio mama mimi kifaranga!
Siridhiki nafsi namuomba Molla!
Anikutanishe na wewe!
Pekenyu pekenyu zakina fulani!
Zisikubabaishe my Love!
Eeh eeh eeh eeh!

Hunitaki tena umekata tamaa!
Usinione tena nakupenda Mama!
Hunitaki tena umekata tamaa!
Usinione tena nakupenda Mama!

Nina haja sana na wewe!
Moyo uwe na wewe!
Nimebaki Ghetto mwenyewe!
Kipenzi nakuwaza wewe!
Nakosa nilichokuwa nacho kisa maneno Nemo ya watu!
Uhali gani huko uliko sina mwingine niko patupu!
Siridhiki nafsi namuomba Molla!
Anikutanishe na wewe!
Na wewe!
Pekenyu pekenyu zakina fulani!
Zisikubabaishe my Love!
Eeh eeh eeh eeh!

Hunitaki tena umekata tamaa!
Usinione tena nakupenda Mama!
Hunitaki tena umekata tamaa!
Usinione tena nakupenda Mama!
Hunitaki tena umekata tamaa!
Usinione tena nakupenda Mama!

Mawazo yangu yangu ni wewe!
Namuomba Mollah mi niwe na wewe!
Mawazo yangu yangu ni wewe!
Namuomba Mollah!
Heeeiih iiih iih iih iih!

Hunitaki tena umekata tamaa!
Usinione tena nakupenda Mama!
Hunitaki tena umekata tamaa!
Usinione tena nakupenda Mama!
Hunitaki tena umekata tamaa!
Usinione tena nakupenda Mama!
Hunitaki tena umekata tamaa!
Usinione tena nakupenda Mama!



Credits
Writer(s): Shabani Shabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link