Honie

Ninapo kuona kwa picha
Ungejuwa jinsi gani ninavyo umia
Na moyoni mwangu baiby
Tayari mwenzako ushaniteka
Na meseji zako mdoli
Ninaposoma zinaniliwaza
Kwenye kilenge cha penzi
Mwenzako nabaki naweweseka
Ninapo kuona kwa picha
Ungejuwa jinsi gani ninavyo umia
Na moyoni mwangu baiby
Tayari mwenzako ushaniteka
Na meseji zako mdoli
Ninaposoma zinaniliwaza
Kwenye kilenge cha penzi
Mwenzako nabaki naweweseka

Ninakuita Honie (Nakuita honie)
Don't ever go away (Don't ever go away)
Ninakuita Honie (Nakuita honie)
Don't ever go away (Don't ever go away)
Ninakuita Honie (Nakuita honie)
Don't ever go away (Don't ever go away)
Ninakuita Honie (Nakuita honie)
Don't ever go away (Don't ever go away)

Mmi najua we kiboko
Tena kiboko ya wote
Wana kutambua wengi
Lakini kwako sikati tamaa
Ila kwa huba kidani
Mwenzako usinipige chenga
Mmi najua we kiboko
Tena kiboko ya wote
Wana kutambua wengi
Lakini kwako sikati tamaa
Ila kwa huba kidani
Mwenzako usinipige chenga

Ninakuita Honie (Iyeee iyeee)
Don't ever go away (Don't ever go away)
Ninakuita Honie (Iyeee iyeee)
Don't ever go away (Don't ever go away)
Ninakuita Honie (Nakuita honie)
Don't ever go away (Don't ever go away)
Ninakuita Honie (Nakuitahonie)
Don't ever go away (Don't ever go away)

Usione nimetulia
Ukasema mwenzako nimesonga
Kumbe moyoni akilini
Mawazo chungu yananisonga
Tena usije chelea
Mchelea mwana kulia hulia yeye
Na heshima ulonipa
Kwa nyumba yako mwenyewe nalipa
Usione nimetulia
Ukasema mwenzako nimesonga
Kumbe moyoni akilini
Mawazo chungu yananisonga
Tena usije chelea
Mchelea mwana kulia hulia yeye
Na heshima ulonipa
Kwa nyumba yako mwenyewe nalipa

Wana kutambua wengi
Lakini kwako sikati tamaa
Ila kwa huba kidani
Mwenzako usinipige chenga
Wana kutambua wengi
Lakini kwako sikati tamaa
Ila kwa huba kidani
Mwenzako usinipige chenga
(Usinipige chenga)

Nina kuita honie (Ooh My honie)
Don't ever go away (Don't ever go away)
Nina kuita honie (Ooh My honie)
Don't ever go away (Ooh Don't ever go away)
Nina kuita honie (Ooh My honie)
Don't ever go away (Don't ever go away)
Nina kuita honie (Ooh honie)
Don't ever go away (Ooh Don't ever go away)



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link