Janjez

Yah
Bigi
Okay
Yah
Eey

Kam nikubambez (Bambez)
Cheki mi Huchill na majajenz(janjez)
Ukileta uvako nakumada tu(mada tu)
Sipendagi stress za kifala tu(Fala tu)
OK kam nikubambez(bambez)
Cheki mi Huchill na majajenz(jajnjez)
Ukileta uvako nakumada tu (mada tu)
Sipendagi stress za kifala tu(Fala tu)

Mi hujificha juu am in a mess,
Sini juzi waliniekea mader case,
Hamwezi nipata juu am in a race,
Yakusaka maganji nipate peace,
Ukiamua kuhate we hate tu(eey)
Ligi nilioko miniko juu(juu)
Kama hautrust we uliza tu
Nikicool kwa hao miguu ni juu

kam nikubambez(Bambez)
Cheki mi Huchill na majajenz(janjez)
Ukileta uvako nakumada tu(mada tu)
Sipendagi stress za kifala tu(eeh)
OK kam nikubambez(bambez)
Cheki mi Huchill na majajenz(janjez)
Ukileta uvako nakumada tu (mada tu)
Sipendagi stress za kifala tu(fala tu)

Ukita ligi nakuboom boom(boom)
Daily mi hushinda kwa room room (room)
Nikichora mistari yani mingi mingi
Kuwakilisha kazi yangu ngumu
Rap Game imenifanya ni hit
That's y nikibonga mi hubonga tu shit
Juu life yenye niko ni life ya juu
Mi hupray kila siku kwa mungu wa juu
Juu yeye ndo hufanya mimi niwe juu
Kwenye life maze mi u husle vinoma
Mi huchapa kazi pia nikiwa na homa
(Mi huchapa kazi pia nikiwa na homa)

Ni janzez
Mini janjez
Mini janjez
Usiulize ni janjez

Kam nikubambez(Bambez)
Cheki mi Huchill na majajenz (janjez)
Ukileta uvako nakumada tu (mada tu)
Sipendagi stress za kifala tu (Fala tu)
OK kam nikubambez (bambez)
Cheki mi Huchill na majajenz (jajnjez)
Ukileta uvako nakumada tu (mada tu)
Sipendagi stress za kifala tu (eey)



Credits
Writer(s): Ismael Kea
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link