Nishike Mkono

Nishike mkono BWANA, nishike mkono
Nishike mkono BWANA, nishike mkono
Nishike mkono BWANA, nishike mkono
Nishike mkono BWANA, nishike mkono
Vita ni vikali, siwezi peke yangu
Nishike mkono, Baba nishike mkono
Mahali nimefika, peke yangu siwezi
Ninakuhitaji ewe YESU, unishike mkono (wewe YESU)
Nishike mkono BWANA, nishike mkono
Nishike mkono BWANA, nishike mkono (mimi siwezi bila wewe)
Nishike mkono BWANA, nishike mkono (nishike YESU)
Nishike mkono BWANA, nishike mkono
Ooh, halleluya YESU



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link