SITOI KITU KIDOGO

Hii track inanichangamsha na vile nilikua nimechoka
Nimechoka na, kutoa kitu kidogo
Nikipatana na karao tao ananishow atanishika mambao
Ka sitatoa kitu kidogo
A Homeboyz produkshizo na, Calif records
Sitoi kitu kidogo, unazema nini?
Sitoi kitu kidogo, utalala ndani
Sitoi kitu kidogo, mia mbili tu?
Ofisa jo, nimechoka na kutoa hongo
Sitoi kitu kidogo, unazema nini?
Sitoi kitu kidogo, utalala ndani
Sitoi kitu kidogo, mia mbili tu?
Ofisa jo, nimechoka na kutoa hongo
Kila mthii anadai corruption ni blunder
Ata makarao, lakini bado wananihanda
Napatana nao usiku nikitoka job kwa njia
Ka sina mia-mia, hawezi nihurumia
Gwanza gijana hebu toa gipande
Maze jo huskii niliisahau afande
Oghey, zaza itabidi umelala ndani
Eh apana, najua rights zangu hio sikubali
Eti una right? me naona una wrong
Akanipiga kibao akareverse ndai yao
Hebu wega hii man'gaa gwa mariamu
Inaniongelesha unathani we ni nyanyangu?
Ah ah, si hivo, nimefikisha 18 tu juzi
Na kupata I.D ni tafash, si unaelewa kuna upuzi
Ina go-down, Hebu zlow down
Zielewi hio lugha, anza guongea ganji
Sitoi kitu kidogo, unazema nini?
Sitoi kitu kidogo, utalala ndani
Sitoi kitu kidogo, mia mbili tu?
Ofisa jo, nimechoka na kutoa hongo
Sitoi kitu kidogo, unazema nini?
Sitoi kitu kidogo, utalala ndani
Sitoi kitu kidogo, mia mbili tu?
Ofisa jo, nimechoka na kutoa hongo
Tumejazana watu ka 15 kwa hio pick-up
Kila esto hawakosi watu wa ku pick-up
Ka huna ganji, beba yeye
Nika ni mathree, beba yeye
Wote wanabonga juu ya thegi anaitwa Onyi
Naskia huko ndani ye ndo first-body
Wanauliza karao, Naskia Onyi hayuko
Hamna bahati nyang'au, Onyi igho
Nika kila mtu hapo anatupa mbao
Wanaachiliwa wakibribe karao na mathao
Nikabaki solo sa tunaelekea ndani bana
Umefika nyumbani, shuka haraka
Akaniandikia sina I.D kwa kitabu ya O.B
Kisha akaongezea drunk n disorderly
Akakubali amekosea lakini eti hana rubber
Naeza futa ukinunua rubber mia saba?
Sitoi kitu kidogo, unazema nini?
Sitoi kitu kidogo, utalala ndani
Sitoi kitu kidogo, mia mbili tu?
Ofisa jo, nimechoka na kutoa hongo
Sitoi kitu kidogo, unazema nini?
Sitoi kitu kidogo, utalala ndani
Sitoi kitu kidogo, mia mbili tu?
Ofisa jo, nimechoka na kutoa hongo
Ndani kunanuka ka choo
Watu wamelala kwa floor
Fo fo fo, hadi wanasnore
Najisunda kando nipate ka usingizi
Naskia Onyi, hapa kuna nyama mbichi
Kuna giza tititi, kuona si eazy
Onyi anabonga, kuja hapa chizi
Nikithani atanipiga hadi nidedi
Anazusha, hawa mafala wanashika wakidi?
Ananishow niketi tukaanza kupiga story
Mpaka che, kumbe jela si kuboring?
Napata mabeste ka 52 huko ndani
Mmoja mpaka akaniahidi job mtaani
Imepita ka mwaka tangu hio noma
Nilipata hio job inanilipa vinoma
Niko kwa toyota prado, nasimamishwa na karao
Nacheka ka mwenda sa ile namshow
Sitoi kitu kidogo, unazema nini?
Sitoi kitu kidogo, utalala ndani
Sitoi kitu kidogo, mia mbili tu?
Ofisa jo, nimechoka na kutoa hongo
Sitoi kitu kidogo, unazema nini?
Sitoi kitu kidogo, utalala ndani
Sitoi kitu kidogo, mia mbili tu?
Ofisa jo, nimechoka na kutoa hongo
Ha ha ha ha
Ehe ehe eheeeee
Kidogooo, kidogooo



Credits
Writer(s): James Mburu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link