Akunipenda

Aliniona mikoro oooh kanizingu aaaah
Kwangu anakula anapita nakuchua aaaah
Kumbe akuwa mchoyo oooh
Misikujua anasema ananipenda wakati ananiektia
Miuno ya mpaka Chongo oooh anaijua
Anaikata kwa vigoma anasaula
Sikulenga kwa jicho Chongo yameniumbua
Anasema anapenda macho Wakati anapenda pua aaah
Aaah
Akunipenda misikujua aaah
Kwangu aliweka kitega kanitegea
Naungesema unipendi ningeomba pooh
Mapenzi si mchezo ungecheza kidali pooh oooh
Kwenye mapenzi mwenzakoBado nipo oooh
Usinione mi poyoyo mama ukanitoa roho
Hallow oooh oooh
Aliniona mikoro oooh kanizingu aaaah
Kwangu anakula anapita nakuchua aaaah
Kumbe akuwa mchoyo oooh
Misikujua anasema ananipenda wakati ananiektia
Miuno ya mpaka Chongo oooh anaijua
Anaikata kwa vigoma anasaula
Sikulenga kwa jicho Chongo yameniumbua
Anasema anapenda macho Wakati anapenda pua aaah
Aaah kwa shobo zangu nilimfollow
Akanifollow kumbe aliniona koroo
Nikajiona mshindi kumbe mi choloo
Mwenzangu mjanja anapita vichochoroo
Nilijivika kitanzi mi bila kujuaaa
Nikajiona shujaaa najisumbuaaa
Kumbe hatariii yaani si shwaariii
Nilipogusa pale kumbe ni hatariii
Kumbe hatariii yaani si shwaariii
Nilipogusa pale kumbe ni hatariiiiiiii
Niliingia kichwa kichwa mwenzenu nalia yamenikutaaaa
Hakuna wa kunifarijii nabaki nalia mi kama mwizii
Kumbe niliforce ili awe na mie nitoe noti ili asikimbie
Alipenda pochi akunipenda mieee eheeee eeeeehhhhhh
Akunipenda misikujua aaah
Kwangu aliweka kitega kanitegea
Naungesema unipendi ningeomba pooh
Mapenzi si mchezo ungecheza kidali pooh oooh
Kwenye mapenzi mwenzakoBado nipo oooh
Usinione mi poyoyo mama ukanitoa roho
Hallow oooh oooh mamaa haloooo
Mama halooooooooo ooooohhh
Ahhaa talent hapa nikiwa sambamba na dj junii
Ahaa nipigie misondoooo mwanaumeeeeeee
Ohh jamani napopenda sipendwii sa mbona mimi nakataaa
Kwa mbele kwa nyuma asa mbona mi nabishaa
Napopenda sipendi sa mbona mi nakataaaa
Kwa mbele kwa kwa nyuma asa mbona mi nabishaaaaaaa
Nioneshe uakatikaaa shika ukuta zungusha duaraa
Namsamba unachanikaaa
Nioneshe uakatikaaa shika ukuta zungusha duaraa
Namsamba unachanikaaa
Chuchuma kama wengine wanavyosemaa



Credits
Writer(s): Emanuel Leonard
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link