Dear Ex Singeli

Mmmh oooh oooh oooh
Minina mapenzi ya kileo
Sina mapenzi ya video
Usije nipiga ukanifanya
Michumio oooh. Oooh

Nitakapo kazini nikumbate niliwaze
Siunajua minatafuta
Nikiludi nimechoka naomba unipoze
Jua mumeo minatafuta aaah aaah

Tupatacho kidogo mama twatumia aaah
Chunga kikubwa Usiwe na tamaaa aaah
Tupatacho kidogo mama twatumia aaah
Chunga kikubwa Usiwe na tamaaa aaah

Basi mama usirie mchumba vumilia mama
Mwenzako natafuta zidi ya jana aaah
Vumilia mama mwenzako natafuta
Ziadi ya jana aaah
Aaaah aaah oooh

Miata senti mwenzako sina aaah
Minajichanga visenti nawe upendeze eeh
Miata senti mwenzako sina aaah
Minajichanga visenti nawe upendeze eeh

Chunga wenye majumba magari ya ferari wasije
Mama wakakuteka aaah
Chunga wenye majumba magari ya ferari wasije
Mama wakakuteka aaah

Mwenzako ntaumia moyo
Ntaumia aaaah mama
Mwenzako ntaumia moyo oooh
Mwenzako ntaumia moyo ooh
Ntaumia aaaah mama

Mwenzako ntaumia moyo oooh
Oooh ntaumia mama ntaumia
Aaah aaah ntaumia
Aaah aaah aaaah

Nikipata tunatumia na nikikosa usinune mama
Mumeo nakutafutia naili nawe uvimbe sana aaah
Nikipata tunatumia na nikikosa usinune mama
Mumeo nakutafutia naili nawe uvimbe sana aaah

Siunajua ridhiki apangaye molla aaah
Akipanga apangavyo siwezi pangua
Siunajua ridhiki apangaye molla aaah
Akipanga apangavyo siwezi pangua

Basi mama usilie mchumba vumilia mama
Mwenzako natafuta zidi ya jana aaah
Vumilia mama mwenzako natafuta zidi ya jana aaah
Aaaah aaah oooh

Mwenzako ntaumia moyo
Ntaumia aaaah mama
Mwenzako ntaumia moyo oooh
Mwenzako ntaumia moyo ooh
Ntaumia aaaah mama

Mwenzako ntaumia moyo oooh oooh
Ntaumia mama ntaumia aaah aaah
Ntaumia aaah aaah aaaah

Kama vipi saula saula na unacheza chura



Credits
Writer(s): Chamazi Music, Ematalent Tz
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link