HRN

Si unaniona,
Niko high kama nimechoma
Huko mtaani wananiita stoner
Ngoma zinapigwa kila kona
Got haters wanashona
Roho zao kama mi ndo owner
Okay oh why, una matusi
Oh bado unakomaa let's do this
Mi sio stupid, ukiomba michongo hawakupi
Ila wanapewa mamluki
Mbona wanakua akili na akili fupi
Nchi imeshauzwa hushtuki
Ama tuwageuzie mkuki
Wanabaki wanataharuki,
Yani kama moshi hawafuki

Naona kama mi niko high right now
Mzuka flani ka wa kimasai right now
Got a couple of bitches on my side, right now
Kaa mbali cause I'm fucking high right now
High right now, i'm so high i'm so high i'm so high



Credits
Writer(s): John Blass, Kassim Salim Kassim, Tawanda Mujaji
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link