Only You

Mola kweli kakuumba
Kakuleta duniani
Uwe wangu niwe wako
Aah tushagandana
Yaani kakupa tasilimia
Kakufundisha kwa njia
Kakupangia mpaka na nia
Aah yaani wee
Yaani moyo damu
Usihisi iih
Twaendana
Hata akiingia ibilisi hatuwezi tengana
Wale wenye tamaa ya fisi watabanana
Watauma kwa ufizi wape banana
Yaani baby you
I say you
Baby you
Ahh tunaendana
Yaani baby you
I say you
Baby you
Ahh tunaendana
Tusubiri siku yetu yaani kaa
Tuombewe tukiwa tumekaa
Aibu itutoke my darling
Tuvuruge kwa furaha
Mimi na wewe
Yaani moyo damu
Usihisi iih
Twaendana
Hata akiingia ibilisi hatuwezi tengana
Wale wenye tamaa ya fisi watabanana
Watauma kwa ufizi wape banana
Yaani baby you
I say you
Baby you
Ahh tunaendana
Yaani baby you
I say you
Baby you
Ahh tunaendana
Naona mwili unakwenda
Moyo nao hukomi kukonda
Na mawazo yanipimia
Ooh ma baby
Mapenzi hayati haraka
Kama vile farasi
Kwenye kisima cha penzi
Usipokunywa lazima utalewa
Ila wangu azizi
Kwako nishajipa leseni
Ooh ma baby
Only You
Only you
Only you
Only you
You captivate me
Only you
Only you
Only you
You make me feel alright
Yaani baby you
I say you
Baby you
Ahh tunaendana
Yaani baby you
I say you
Baby you
Tunaendana
SPECIAL DEDICATION TO YOU MY LOVE
YOU ARE MY ONLY ONE
I PROMISE TO BE WITH YOU, NOW AND EVEN FOREVER
I LOVE YOU



Credits
Writer(s): Ackley Taro
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link