Yataniua (feat. Diamond Platnumz)

(Ni nini hiki mbona chanizuzua?)
(Nini hiki mbona chanisumbua?)
(Nakaribia kuzalilika) (S2kizzy baby)
(Nakaribia kuzalilika)

Aliyeumba mapenzi hakusema yana maumivu
Aliyeumba mapenzi hakusema unaua wivu
Gharama, mapenzi gharama
Utachukia ndugu, marafiki, ugomvi na mama
Gharama, mapenzi gharama
Na ni donda sugu halitibiki ukishazama

Unamuamini na kudhani ndugu yako
Kumbe kijini, ndio baby wa baby wako

Mapenzi yataniua
Bora nitafute pesa nianze jishaua (niwe happy now)
Mi' mahaba yataniua (yata ni-kill)
Bora nitafute pesa nianze jishaua
Nikizipata ni

Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi
Mitungi, mitungi, mitungi, mitu-tu
Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi
Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi

Na watakoma aisee, hili party
Nyama choma ashe, aje?
Muziki mangoma aje? Vya Arusha nivichomaje, aje?
Watakoma aisee, hili party
Nyama choma ashe, aje?
Muziki magoma aje? Vya Arusha nitavi-shh
Nipite na kila mtu

Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe (eh)

Ka' kupenda (aku), kampende baba 'ako (ah baba 'ako)
Si' unampenda? Kampende dada 'ako (ah dada 'ako)
Ka' kupenda, kampende baba 'ako (ah baba 'ako)
Si' unampenda? Kampende kaka 'ako (ah kaka 'ako)

Mapenzi yataniua (yata ni-kill)
Bora nitafute pesa nianze jishaua (niwe happy now)
Mi' mahaba yataniua (yata ni-kill)
Bora nitafute pesa nianze jishaua
Nikizipata ni

Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi
Mitungi, mitungi, mitungi, mitu-tu
Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi
Mitungi, mitungi, mitungi, mitungi

(Gharama, mapenzi gharama)
(Utachukia ndugu, marafiki, ugomvi na mama)
(Gharama, mapenzi gharama)
(Na ni donda sugu halitibiki ukishazama)
Nipite na kila mtu

Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe
Hadi we, hadi we
Hadi we, hadi wewe (Kamix lizer)



Credits
Writer(s): Siraju Amani, Salmin Maengo, Nasibu Issaack, Mbwana Kilungi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link