Askari Ako Jaba

(Woooo!)
(Black Hole!)

Ako jaba
Askari ako jaba
Alitaka tukashikishe na supper
Tukamsho, "Maze, tunakata waba"
Ako jaba
Askari ako jaba
Alitoka kupigwa ngeta Manyanja
Akaingia mboka na jicho nyanya

Ako jaba
Askari ako jaba
Tulikuwa pale kwa akina Sandra
Tukivuta shash, tukikata waba
Askari akanyakua kishada
Akazimia kindukulu kwa Fanta
Tulimshika tukampiga bare saba
Ikabaki sura imefura ka zimanda

Jaba, jaba, jaba, jaba, jaba
Askari kaniuliza, "Wapi mama?"
Kumbe sianda nimewacha ikiwa rada
Nilitoka tu kununua ma-rubber
Huskimbitii nimekam?
Nimejaza gari na madam
Mbogi mzima, what ah gwan?
Na DVK, what da plan?

Ako jaba
Askari ako jaba
Alitaka tukashikishe na supper
Tukamsho, "Maze, tunakata waba"
Ako jaba
Askari ako jaba
Alitoka kupigwa ngeta Manyanja
Akaingia mboka na jicho nyanya

Jikoni kunanuka tu ma-Pilsner, ma-ciggie
Boys hapo ndani wanajitolea kamili
Madem wako na figure wamewasili
Mmoja anatekwa nje kwa baridi
Mwingine alijiweka chobo
Alidai kukunywa chali wake Solo
Peng ting alivua kimono
Alipiga picha, akaweka group ya jobo

Nilivyowasili ni mimi na wawili, heh
Pesa otas, mamoshi na ma-drinks kizee
Luku fisa, ngoto tisa
Mwengine anaitwangwa Lisa anani-call maze, uh
Lakini huyu askari ako jaba
Anajifanya sana ati ako rada
Kitu hajui ni Ras amejipanga
DVK, BH, tunajikata

Ako jaba
Askari ako jaba
Alitaka tukashikishe na supper
Tukamsho, "Maze, tunakata waba"
Ako jaba
Askari ako jaba
Alitoka kupigwa ngeta Manyanja
Akaingia mboka na jicho nyanya

Askari ako jaba
Alipatana na manzi wa Kahawa
Akamsho, "Wacha nikuchoree saba"
Lakini miti ikakataa kusimama
Akaenda kunywa dawa ya moshatha
Next thing, amelala kwa kibanda
Alidhani atamumunya kahaga
Kumbe dem alimsanya ngiri saba
(Black Hole!)



Credits
Writer(s): Davy Kamanzi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link