Nidhibiti

La-la-la-la-laaa
Lala, La-la-la-la (Mocco) la laaa

Una hali gani unayefanya moyo wangu unadadarika (ahh)
Niko twabani umeniacha dakika mbili tu nishaboreka
Umeniweka rehani
Changu kiwiliwili moyo umeuteka
Umeniathiri honey nshaaribika mbaya kwa yako makopa

Kama mapenzi kitabu
Ungekuwa kurasa ya katikati
Ukichanwa wewe stori haiendelei
Aaaah nakupenda mpaka adhabu baby nahisi kuna hatihati
Ukiniacha wewe walahi mimi sitoboi

Honey honey (Honey) Wangu wa ubani bani
Mimi ndege wako sa manati ya nini
Nakupa ruhusa weeee!

Nidhibiti
Nidhibiti
Nidhibiti
Nakupa ruksa weee!
Nidhibiti (weee)
Nidhibiti
Nidhibiti (now)

Ewee baby (Eweee baby)
Mke wangu (mume wangu
Mimi na wee hadi milele

Ooooh mbivu ziwe mbichi ni vya kwetu sisi
Sijali nisharidhia yayaah
Wabaya wanafiki watafute viti wakae kwa kutulia hayaaa

Upendo kwetu faradhi umepita tsunaa
Rabiii atuhifadhi mpaka kufika chanaa
Ooh na mimi kwako ni radhi kufa kuzikanaaa
Waambie wavunje nazi si tumeshindakana

Honey honey (Honey)
Wangu wa ubani bani
Mimi ndege wako sa manati ya nini
Nakupa ruhusa weeee!

Nidhibiti
Nidhibiti
Nidhibiti
Nakupa ruksa weee!
Nidhibiti
Nidhibiti
Nidhibiti (now now)



Credits
Writer(s): Juma Mkambala
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link