Right Now

Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah, yeah, yeah

Right now
Nadai hizo maganji right now
Anytime ni 4:20 light now
Kaameiva akuje right now
Right now, right now
Nadai hizo maganji right now
Anytime ni 4:20 light now
Kaameiva akuje right now
Right now

We nani unapiga kelele we mavi nini
Mbona unareason ka mtoi wa pp2 unadai nikuchape nini?
Vile nliacha janta ilikuwa siku ya mwisho kuita mbleina donga mingi
Na siku hizi wananiita biggie
5 AM lazima malap ndio nidishi fiti
Manager anadunga tenje anauliza kama niko on tufike TV
Niko hotbox na mamorio ka 45 kwa baze ya jaba hapo chini
Niskumie kitu hii gwethe haishiki bila
Jug na ngwai saba nadai ziwake

Right now
Nadai hizo maganji right now
Anytime ni 4:20 light now
Kaameiva akuje right now
Right now, right now
Nadai hizo maganji right now
Anytime ni 4:20 light now
Kaameiva akuje right now
Right now
Right now



Credits
Writer(s): Jorum Gachanja
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link