Raaa

Nhehehe
Ooh Yeah
Ooh Yeah Ooh Yeah Ooh Yeah, Eiy!

It's Jomo, is Jomonotics. (Sha Sha!)

Niko Nairobi na niko Thika
The same time simu nashika, ni bash imeshika
Wengine ni bibi hatuna, wengine madini, dini
Maadili wengine tuna, uamuzi muhimu Buda
Ujana ni moshi me niliNOTICE so I'ma live it all
Me ni mDosi na nina pochi so amma do it all
Una worry kuna ngori, that's so minimal
Na, me nina mori ya KuWORSHIP, that's so BIBLICAL
Kufika tu kwa bash hivi nasaka msichana mrembo
Tufanye harusi kwa keja wengine waanze kushuku ni birthday
Monday, Tuesday, ooh leo ni FRIDAY
But kama una form toa juu mimi lazima niPARTY

So ka unapenda maisha yako Sema RAAA
RAAA
Ka unapenda maisha yako Sema RAAA
RAAA
Sema RAAA wewe si useme RAAA
RAAA
Sema RAAA wewe si useme RAAA
RAAA

Mindo mKAlI, hawa mafala wengine hawabambi
Mindo FALY hao wengine ni PUPA na Bhangi
Tei, kush, ZII me SOBBER MIND
Form ni kujibamba niite bash if you don't mind
Nikuje na Uber ama KALESA bado naARRIVE
Kufika tu hivi madem KIBAO nishaanza KIVIBE
Form inajipa, hata kidogo siwezi kulala
Kanashika Buda huku form ni raha raha

So ka unapenda maisha yako Sema RAAA
RAAA
Ka unapenda maisha yako Sema RAAA
RAAA
Sema RAAA wewe si useme RAAA
RAAA
Sema RAAA wewe si useme RAAA
RAAA

Tukipatana form ni kujibamba
Daily Tukipatana form ni kujibamba
Tukipatana form ni kujibamba
Daily Tukipatana form ni kujibamba
So form ni kujibamba
Daily form ni kuji
Form ni kujibamba
Daily form ni kujibamba
Form ni kujibamba
Daily form ni kuji
Form ni kujibamba
Daily form ni kujibamba

So ka unapenda maisha yako Sema RAAA
RAAA
Ka unapenda maisha yako Sema RAAA
RAAA
Sema RAAA wewe si useme RAAA
RAAA
Sema RAAA wewe si useme RAAA
RAAA
(Ooh Yeah)
So ka unapenda maisha yako Sema RAAA
RAAA
Ka unapenda maisha yako Sema RAAA
RAAA
Sema RAAA wewe si useme RAAA
RAAA
Sema RAAA wewe si useme RAAA
RAAA



Credits
Writer(s): Alex Jomo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link