Family Success
Baba success ndio nasaka
Mungu nibariki na fanaka
Alichokosa kufanikisha home kwetu baa mzazi
Naahidi nitafanya
Ooh Yeah
(Ooh Yeah Ooh Yeah Ooh Yeah Ooh Yeah yeah)
Ooh Yeah
It's Jomo, It's Jomonotics
Me ni position four in my family (family)
I mean, me ni last born in a family of four
Nimejaliwa six senses, miguu na mikono zote mbili
Uso complete, nashukuru siko challenged physically
I never had a chance to enjoy life with my dad
Lakini niko very sure itaniHurt, me nikimwona na shetani
So sitakasirika juu hayuko but in fact
Nafaa kufurahia coz at least aliExist
Nataka tu kuFeel like naBelong
Hata ingawa kunao wenye wanaFeel me niko wrong
Wakati hawajui stories zangu, wananijua tu jina
I wonder if they really know what they are doing to me
Silalamiki, ukweli ni my mom amestruggle na mimi
Kujaliwa sio uwezo, ni njia ya Mungu ya kutuReach
Naonekana kuwa poor na wanaojiona rich
Reason harufu hainipiti, sana sana ile ya fish
I'm in a real world, wewe uko kwa fantasies
You only make friends ndio wakuPay back na gratitude
Na so far me niko set, ka viti za kitambo
Ready, to face challenges life inaleta kwa maisha yangu
Na n,,,,a, before God we're all equal
I thank God me niko hai yaani niko
Buda juu, kaa kamba ya kujinyonga
Wewe ndio Mungu wa majeshi so on behalf of the soldiers
I salute you

Dad heaven you belong, pray for us from where you at
Even when we don't pray (on earth)
Mbinguni ndio home kwetu, we tuombee ukiwa huko
Hata wakati hatujaomba (duniani)
Sisters zako wako fine, (fine) bro yako ako fine (fine)
BTW gotea shosho, gotea guka
Family yako iliGrow, kuna wengi huwajui (now)
Na I'm so sure hawangemind ku kukupata around
(Ta) Tayo is around, Brad na Lin wako home now
Nell is around, Natalia, Masha na Aviana
Evance alioa, wife yake anaitwa Linda
Erick akaoa pia, wife wake ndio Min Tayo
Zaina alioleka, bwanake ndio baba Lin
Me pekee ndio sijaoa nisaidie kumkagua Dad
Uliko unaFeel aje Dad? (Dad)
Dad nashukuru manzi yako wangu mom (mom)
Mom never, hakuchoka nasi, & for real
For real we're happy that you met her (ah ah)
Mmh, Baba success ndio na, OOH YEAH
Baba success ndio nasaka
Mungu nibariki na fanaka
Alichokosa kufanikisha home kwetu baa mzazi (ooh yeah)
Naahidi nitafanya (sheesh)

Naahidi nitafanya (ooh yeah)
Ee uu aa uu aa uu
OOH YEAH
Uu uu uu wowo wowo hey yeah

Credits
Writer(s): Alex Jomo, Lyrical Genius
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.