Matozo

You're in my mind oooh

Elewa mwanzo wa kiapo, kipaumbele
Penzi lenye matozo
Lina maumivu
Akili yetu sio ndogo
Na uzuri hatuna fear love
Oooh kadogoo, mpenzi

Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love
Na vikoba havitutishi
Hatupitishi week love

Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love
Na vikoba havitutishi
Hatupitishi week love

Manung'uniko nami sina tena
Ukali wangu ndio basi wee
Ndoto nzuri njema njema
Hunijia nikiwa nawe
Mpenzi oooh love
Nafsi isiwe na maradhi
Mpenzi pona
Habari zetu ziwafikie

Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love
Na vikoba havitutishi
Hatupitishi week love

Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love
Na vikoba havitutishi
Hatupitishi week love

Akili yetu sio ndogo
Na uzuri hatuna fear love
Oooh kadogoo, mpenzi

Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love
Na vikoba havitutishi
Hatupitishi week love

Nimezama kwenye wimbi la mapenzi sweet love
Na vikoba havitutishi
Hatupitishi week love

Credits
Writer(s): Judith Wambura Mbibo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link