SHEREHE SHERIA (feat. Espoze)

Raha za mwewe si raha za fisi
Raha za punda si raha za nyani
Hupendi sherehe
Wachana na sisi
Superstar
Washa kibiriti
Keggah kwenye beat yow
Sherehe Sheria
Espoze
Hustlaaaa

Utanipata kwenye club
Nimekalia sinatabu
Waresh ka watatu
Ni Hustla ule boy madhahabu
Mi na wazito wangu
Walenje tulisahau
Siku izi ni vikapu
Hatukuzaliwa nazo
Hatuzikwi nazo
So si tunatumia tu
Tunatumiaga pia vitu
Moshi ka matatu
Kuna wale huwadu
Wengine chupa kamuwa
Kangeta chanuliwa
Wewe madam
Vile unanifokolola
Kaptura ntakuvuwa
Tunaishi limoja tu
So sherehe sheria

Sherehe sheria
Sherehe sheria
Hauna wako
Chupa shikilia
Sherehe sheria
Sherehe sheria
Uko na wako
Zote mbili shikilia

Sherehe sheria
Sherehe sheria
Hauna wako
Chupa shikili
Sherehe sheria
Sherehe sheria
Uko na wako
Zote mbili shikilia

Sheria

Maze leo ni sherehe eh eh
Sunajua leo tena ni friday
Maisha ni mafupi seen another day
So lazima leo nijiwachilie
Niokotwe
Kwa mutaro
Na ma frenze
Na mabaibeeee

Sheria
Weka mtoto kando cheza naye ni
Sheria
Kunywa pombe mpaka uanguke hio ni
Sheria
Piga mziki mpaka kukuche hio ni
Sheria
Yeah yeah yeah yeah
Sheria sheria sheria sheria sheria

Sherehe bila kasheshe
Sheria
Tukianza ni sheria tukeshe
Sheria
kuwe na sola ama kunyeshe
Sheria
She she she

Sherehe sheria
Sherehe sheria
Hauna wako
Chupa shikili
Sherehe sheria
Sherehe sheria
Uko na wako
Zote mbili shikilia

Sherehe sheria
Sherehe sheria
Hauna wako
Chupa shikili
Sherehe sheria
Sherehe sheria
Uko na wako
Zote mbili shikilia

Sheria



Credits
Writer(s): Jean Luc Ntawukuriryayo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link