Nampenda

Killer
Iwe Snapchat ama Orijino PICHA
Bado anang'aa madada anawaFICHA
Ana nzuri shepu mtoto ameuMBIKA
Nimekufa kwake
Ninasubiri kuzikwa mi
Ameumbwa hajatapikwa ye yeeeh
Nahitaji kuishi nae
Kwenye SHIDA
Na Raha niwe Nae
Ntamvisha PETE mi nimuoe
Na ukimuona very expensive ye
Lakini ndo kanipa Shavu mi
Ukimuona very expensive ye
Lakini ndo kanipa Shavu mi

Kiukweli mi ni ukweli mi
Kiukweli mi nampenda
Kiukweli mi ni ukweli mi
Kiukweli mi nampenda
Kiukweli mi ni ukweli mi
Kiukweli mi nampenda
Kiukweli mi ni ukweli mi
Kiukweli mi nampenda
Nampendaaaa nampendaa
Nampeendaaahaaah nampenda
Nampenda yeye
Yehyee nampenda yeyeee

Mamiloo nakupenda dear
Na Upendo wangu nimekugawia
Na ukitaka nizidishe nakuzidishia
Ukitaka nijumlishe nakujumlishia
Aah Kuwa simu nikujaze salio haaah
Nipe paja kipapatio
Na ukiskia mziki linadunda kalio
Mi Sina hofu kumaliza mafao
Hey Mamiloo unaniacha Hoi
Mambo unayonipa
ya MAHABA nainjoi
Heey Mamiloo siwezi Sema SIKUOI
Upendo wangu kwako
Kiukweli siuchukui
Hey Nna mfagio nakufagilia
Nimenasa kwako siwezi kuachia
Wakivutia uzi Sina hofu una Mkasi
Mpira wetu KOPA tunapigiana Pasi
Unanipenda kweli sina hofu na mabosi
Siwezi kukuacha em futa huo mkosi
Nipe Mia usinipe Hamsini
Jibu unalo hujaniuliza kwanini
Babygirl
Nakupenda wewe wewe
Sweetlove
Nakupenda wewe wewe

Kiukweli mi ni ukweli mi
Kiukweli mi nampenda
Kiukweli mi ni ukweli mi
Kiukweli mi nampenda
Kiukweli mi ni ukweli mi
Kiukweli mi nampenda
Kiukweli mi ni ukweli mi
Kiukweli mi nampenda
Nampendaaaa nampendaa
Nampendaaahaaah nampendaaa
Nampenda

Yeah don't ever break a fragile heart
You are puzzle of my heart
Jizzle Maphyz yeah
It's hunkydory music 1961 yeah
We got Killer Sound in da building
Yeah Y'all ready know heeh
Heeh Small for Love



Credits
Writer(s): James Mwankanye
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link