Trap King Freestyle

Peek a boo pikachu
Pikachu peek a boo
Verzu on the beat
Wanacap wanacap
Mbogi ni strong imejaa mtu sita
Six by four
Ukicheza virong sitasitasita

Yow listen
Streets si safe nomo don't come out juu utamadwa kwa giza
Kwa wiki I'm cool siku sita bars ni cold mdomo ndo freezer
Drip too hard wanadrown ana smiley but instead amefrown
Unabonga kaa dem pewa gown nimedunga northface but mi nazidi south
Trap king kila day tu niko hussling ako fancy hadi look hupiga luku safi
Wanaulizana pikachu kwani ni nani kuomoka ka ni food basi mi ni mlafi
Something ilikamingi kwa brain ni kama gambling ukiwekelea bet
Cheki mizani nikiroga na mistari za kilami hawa mafala wanadhani mi ni barbie

Alitryingi kurap
Hakuput in the work so career ilifail
Niko stuck na the fact
Nilisleki ni kama my ship ilisail
Drip or Drown free thugger na gunna
Boys in blue walikam kuwabamba
Alidhani ye ni too hot handle bila kunao mi ni hot graba

Hadi mind imekuwa too sharp
So nithink hard naeza end kujikata
Skin ni black na flow inabamba
Nabite hawa maopp juu mi ni black mamba
Buckle up hii ride ni choppy
Bond yangu na mziki ni ngori
Akili ni ya rick sura ni morty
Hadi nimake it nikifika forty

Wanacap wanacap
Mbogi ni strong imejaa mtu sita
Six by four ukicheza virong sitasitasita
Anadhani mi ni one boy wonder no wonder ako under me
Alimiss akapigwa saba copper alipata ni four plus three
Ye ni mouse inafaa amepewa ratrat
Kwa mneti nawapata wakichatchat
Hii si game ukitry kunidiss juu ni ass unakiss utashikwa mara that that
Hadi beat inaslap slap
Ig hizo post wanatap tap
Amenidedi shaka
Kuniride kama dere wa uber chapchap

Beef ni nini kwa msee kwa mimi inafaa umebuyiwa kamini
Flesh ni ya goat so unadiss nini row your boat utazama majini
Nikidrop iwe bars au shule breaking news na siati ni nini
Kunipima na huna ratili nadai hio mic na sibongi amiri
Ni msoft namhandle with care mi huchezanga dirty wakicheza vifair
Hadi bash anadai kunipea drinks zimedie na wallai sina fare
Kaa ni verse unadai kuna spare huezi keep up na ni mi nikishift hizi gear
Amecuff but ni kama anashare ukikam ntakukata hizo pembe umemea

Niko chilled wanadhani I'm crazy but I've seen too much
Somethings zilibreak my heart ikabaki nimesaka jah kwa church
Mayuts wanadoz na njaa quickfast wakavote sakaja for lunch
Incase mi new face mi hupost songs yt siezi mind ukisearch
Tuko addictive kama meds
Hadi uptown wananipree so ukikam mandem kuwa mless
Huo boi wakuvape alitryingi kutrend ikabaki amepewa meds
Huo boi wakuvape alikam hizi ends ikabaki amecall mafeds



Credits
Writer(s): Mwiti Koome
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link