Coastalina

Miss Coastalina ameniteka kimoyo
Nkasahao Nairobina sibanduki mi nishafika
Anifanya nigegeuke kigugumizi hiki cha moyo
Aniwai embe dodo kibichi bichi lakini kitamu

Coastalina wangu
Coastalin wangu wangu
Ohh Coastalina wangu
Coastalina wangu wangu

Sikufunzwa na mama, najivunia ya baba
Ingekuwa ni jana wazee wa jadi
Wangesema
Maskini akipata nini hicho hulia mbwata
Lakini mi sijali naigangia hata ya jana

Miss Coastalina ameniteka kimoyo
Nkasahao Nairobina sibanduki mi nishafika
Anifanya nigegeuke kigugumizi hiki cha moyo
Aniwai embe dodo kibichi bichi lakini kitamu

Coastalina wangu
Coastalin wangu wangu
Ohh Coastalina wangu
Coastalina wangu wangu

Akijipa jipende mwachie Mola ahukumu
Uzito wa mzigo aujua aubebae
Wacha uwe mchakato mayonyesho
Ya jana, leo na kesho
Vile anakata chakacha wacha mwezi utazame

Miss Coastalina ameniteka kimoyo
Nkasahao Nairobina sibanduki mi nishafika
Anifanya nigegeuke kigugumizi hiki cha moyo
Aniwai embe dodo kibichi bichi lakini kitamu

Coastalina wangu
Coastalin wangu wangu
Ohh Coastalina wangu
Costalina wangu wangu

Miss Coastalina
Miss Coastalina
Miss Coastalina
Miss Coastalina

Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link