DEBORAH

Mwamshee mme wanguuu
Hali yangu we unaijuaaa
Kila ugonjwa unanisumbuaaaaa
Kuhema kwangu kwa kusua sua mpeenzii
Zina nistiri zako DUAAA
Tafuta wakuifariji roho yako
Roho yangu ataichukua molah
Ingawa ulishakulaga na kiapo
Ntakua mume utakua mke boraa
Ukasema chako changu
Chakwangu chawakooo
Utakua tai ntakapokua kola
Amini nipo nawe muda wote japooo
Hautoniona sura mpenzi Deborah

Husiuzuie moyo wako kupenda
Atakaekuja mpe nafasi maaana
Sizani kama ntarudi nnapoendaaa
Ila amini ninakupenda sanaaa
Si makusudi yangu Deborah kukutengaaa
Yoote ni mipango ya MAULANA
Nitakufuru nikiongea sanaaa
Mama, nyamaza kuliaaaa
Churus
Unamliliaje mfu alie haiii
OOOOH Deborah
Tafuta mtu ataefanya ufurahiii
OOOOH Deborah
Kuhusu kifo changu mpenzi usijali
OOOOH Deborah
Nimekuachia upendo wangu na maliiii
OOOOH. Deborah



Credits
Writer(s): Ngitte Tz
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link