Sylva

Shee

You you you you, you my love
You you you you, you my heart
Oh my baby syva sylva
Maama sylva sylva
Namchkuru mama aliye ku zaa
Sababu mimi nime faidika
Nime banwa na penzi kama mzaa
Sitawai tena fazaika
Walio chocholea tuachane
Hawata weza twa fanana
Hauzi jiuliza kwa nini marafiki ndiyo wana tuumiza
Wame ona tuna weza ndiyo wanaanza tu nyanyasa
Tukibaki marafiki wata nyamanza
Wivu ndio niya baki una juwa
Nilisema nakupenda penda
Mola akaku pitiya tiya
Naukanikubaliya so

Oh my baby syva sylva (YOU MA LOVE)
Maama sylva sylva (YOU M HEART)
Ivi uli waza kisha mimi kuku penda
Nili changanywa japo sidja pima
Urembo wako ulini tosheleya
Tabiya nzuri zili nivutiya
Cheko lako kama malikiya
Sikuweza hata fikiriya
Nime tembeya popote kwenye dunia
Hakuna anaye kuzidiya
Nime ongeya nawengi
Ila we ndo unanivutiya
Nakudata una juwaaa, Sylva
Ukiniacha sita wezaaa, sylva

You you you you, you my love
You you you you, you my heart
Oh my baby syva sylva (AYAYA)
Maama sylva sylva (AYAYA)
1*
Namchkuru mama aliye ku zaa
Sababu mimi nime faidika
Nime banwa na penzi kama mzaa
Sitawai tena fazaika
Walio chocholea tuachane
Hawata weza twa fanana
Hauzi jiuliza kwa nini marafiki ndiyo wana tuumiza
Wame ona tuna weza ndiyo wanaanza tu nyanyasa
Tukibaki marafiki wata nyamanza
Wivu ndio niya baki una juwa
Naomba usikiye
Tujenge familiya
Tubarikiwe nawa zazi
Tu one tunda la penzi letu he

You you you you, you my love
You you you you, you my heart
Oh my baby syva sylva
Maama sylva sylva



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link