All Time, No Time

(Markco)

Enyewe me ni mkali duniani walahi
Hao wasee hujidai wakali ni waongo wanaLie
But why lie?
Na ni evident me ndio the guy
Umeshindwa na yeye so bed yangu ndio anaLie
Coz I'm young, I'm dope and I'm fresh
As fresh as a daisy, Mr. Real, no fake
All I've got, is some dope vibes
You never wanna miss
Na ulitangulia ukaenda kuDisappoint
Skiza Beiby
Me ndio huwa mkali All Time
Na hawa mafala huwanga wakali No Time
Me ndio huwa mkali All Time
Na hawa mafala huwanga wakali No Time

(Beiby) Me ndio huwa mkali All Time
Na hawa mafala huwanga wakali No Time
Me ndio huwa mkali All Time
Na hawa mafala huwanga wakali No Time (No Time)



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link