Ukinichiti

Aliekuumiza mtafutie mwenziee
Ili ukimpost akimuona aumie

Tena mkiachana chunga usimrudi
Post nyumba pesa gari ili ajutie
Ndo mama mimi simuwazi
Akichelewa kurudi naacha mlango wazi
Tena namwambia aogope maradhi
Akumbuke kinga asiende waziwazi
Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
Nusu nitoke uhai uhai uhai
Nishaenyeka sana
Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Kidole changu kimoja hakivunji chawa
Kama ukipenda boga penda na ua sawa
Ata ukiniroga husizidishe dawa
Nipe chuzi kunoga nijitanue mabawa
Haya mapenzii hayanaga fundi Ouuh
Haya mapenzi yalikuwepo toka enzi uuh
Acha nilewe eeh acha nipombeke
Aah stress zanini eeh pembeni nijiwekee
Acha nilewe acha nipombeke eeh
Stress za nini eeh pembeni nijiwekee
Nishaumizwa nishateswa na mapenzi
Nusu nitoke uhai uhai uhai
Nishaenyeka sana
Mi natoa mapesa wao wana furahi furahi furahiii
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Shii shi shishi
Shishi shishi
Mh shishi shishi shishi
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho
Ukinichiti nakuchiti
Ukiniacha nakuacha
Kwani yani shingapi
Ya nini tuumizane roho



Credits
Writer(s): Hamisi Shabani Makalanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link