Sura

Nashika tama kila nikianza
Kuikumbuka
Nyota na mbalamwezi
Hushindana kuizunguka
Ile
Sura
Sura
Sura
Sura

Usizidishe

Usiki'ze washauri
Utanitenda
Ukizidisha kiburi
Utanitega
Katoto flani kembamba
Kazuri na kadogo
Akitembea kwa nyuma
Anatingisha mudodo
Aiyoo we
Aiyoo yo
Aiyoo we
Aiyoo yo

Nami' sina chochote
Niko radhi mi nikope
Kisura tuwe wote
Kafesi kasichomoke
Nami' sina chochote
Niko radhi mi nikope
Kisura tuwe wote
Kafesi kasichomoke

Kama kukupenda kesi
Ntaishi kwa gereza
Haka kamoyo kepesi
Usinipe Majeraha
Mahabuba
Tenga Muda
Tuweze kujenga makubwa
Nikianza mi kukupa
Silali paka keshokutwa
I can tell by the look in your eyes
You've been ready
To love through the night
Make you wanna say
You're mine
(Niko radhi mi nikope)

Nami' sina chochote
Niko radhi mi nikope
Kisura tuwe wote
Kafesi kasichomoke
Nami' sina chochote
Niko radhi mi nikope
Kisura tuwe wote
Kafesi kasichomoke

Oh na na
Oh na na



Credits
Writer(s): Mark Nkulila
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link