Atanipenda Nani

Sometimes you wherever you Want omg minitabaki peke Yangu mmh kama nikiku miss Nikuona ndotoni hasira na Marafiki nitazificha usoni
Wekikoma umenikomoa sijui Atakeshi nitaliona jua nilijua Unajenga kumbe una bomoa Muchanga uliputa

Mindo kipofu bado sioni Machoni kwani namkosi nako Penda sipendwi moyo Umegoma mi kuifathi mapenzi Hautaki umekata

Atanipenda nani
Nimpende anipende tupendane
Atanipenda nani
Nimtake anitake tutakane
Atanipenda nani
Nimteke aniteke tutekane
Atanipenda nani
Nimuahidi aniahidi tusiachane
Atani penda nani atani penda nani

Ummoyo maumivu najiona Majivu hasa vidonda unani Tonesha kama kandili Basi Utambi umeshuka vuta kuvuta Umeniachia nimeanguka awee Unawivu sawa tu miumeni Toka nitapata wa kuniurumiaa

Hivi kwanini nazama hivi Kwenye kina chapenzi Nashindwa kuogelea miwala Sijuti sikomi nitampata Ataenifa

Mindo kipofu bado sioni Machoni kwani namkosi nako Penda sipendwi moyo Umegoma mi kuifazi Mapenzi Hautaki umekata

Atanipenda nani
Nimpende anipende tupendane
Atanipenda nani
Nimtake anitake tutakane
Atanipenda nani
Nimteke aniteke tutekane
Atanipenda nani
Nimuahidi aniahidi tusiachane
Atani penda nani atani penda Nani



Credits
Writer(s): Faraji Migesi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link