Sina Amani

Kutwaa najiona mjinga usoni
Unanionea ama mapenzi vita Kwako mimi nitaongea mzima Njee ndani nishajifia umeukita
Moyo pancha ushautoba

Kwako sikuamini vikwazoo
Niliamini wendo suluhisho Kinaa kwa kinaa nikazamia na Penzi ukalipaka toopee kinacho
Niongeza mawazo penzi
Limegeuka vitishoo unavyo
Fanya unanionea moyo
Umeanguka niokotee

Oooh baby
Uwezi kumbata mbuyu muogo
Mchungu ukautafuna

Oooh baby
Atamtoto unyonya kwa
Kikomoo

Oooh baby
Silizangu nitunzie tena iwe
Kikomoo

Oooh baby
Onananananaah nah nah naah

Ingekuaga macho nipanziaa
Ningeficha nisione ufanyayoo
Penzi kama page una share
Ewee mwali yayooh yayooh
Yani moyo unaniumaa
Natamani ata nisikuone
Nikikumbuka yanyuma
Maumivu asa vipi nipone

Sina amani baby sina amani
Shauli yako wee
Sina amani baby sina amani
Shauli yako wee

Sinaa aamani shauli yako weee
Sinaa aamani shauli yaah

Oooh baby
Uwezi kumbata mbuyu muogo
Mchungu ukautafuna

Oooh baby
Atamtoto unyonya kwa
Kikomoo

Oooh baby
Silizangu nitunzie tena iwe
Kikomoo

Oooh baby
Onananananaah nah nah naah



Credits
Writer(s): Faraji Migesi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link